Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
ukiwa mtafutaji ukipatamwanamke wa kichaga oa, wanaforce na wako very strategic ktk kutafuta maendeleo hasa akiwa na shule kichwani

wana financial discipline ya hatari. shuhuda mi mwenyewe mke wangu mchaga wife anamchango mkubwa sana ktk mafanikio ya familia yetu kuanzia nyumba, viawanja, mashamba mpaka kampuni ananipa mzuka wa kupambana kila siku
hongera Mkuu..
 
Mimi baba yangu,aliniambia nisioe mchaga, sikumwelewa anamaanisha nini ila Siku zilisonga na kuzidi kuona mahusiano ya kichaga, wanaume wengi wanadedi na kuwaacha wenza bado wana nguvu sana, mwishoe mama anabaki pekeyake na watoto, nduguyako atii mguu pale, sikufanya makosa sijaoa mchaga aisee, ukweli mchungu wachaga waache waoane wenyewe kwa kweli, mwezi wa kumi na mbili waende kwao wakale Xmas
Tusipende kugeneralize. Nimeoa Mchagga Na yupo proud Na Maendeleo ya kwetu. Kila wakati ananikumbusha kuwa lazima kwetu kuwe juu kuliko kwao. Sisemi wote wapo vile kila mtu kivyake
 
Mmmh sijafanya research kwenye hili wala sina habari labda kwa vile mi wa pwani. Ngoja wenyewe waje.
 
Yaani hujaona utapeli unaofanywa na hao wanawake au unajifanya kichwa ngumu? Mfano kuna mtu ameoa mwanamke wa kichagga, anasomesha ndugu wa mkeo wakati wadogo zake hawasaidii hata senti moja, wewe unaona ni sawa? Au mme wa mtu kutelekeza familia na kuwa na mchepuko wa kichagga au kihaya? Wewe unaona ni sahihi? Acha mambo hayo ndugu yangu.
Sasa wewe maisha ya mwenzako yanakuuma nini? Au wewe ndiye uliyetelekezwa na unakuja kumalizia hasira jf badala ya kum face huyo muhusika, fanya yako acha kufuatilia maisha ya watu.
 

Ni kama wewe mkuu, fanya yako acha kuhangaika na mimi humu. Wewe watu wanatesa familia zao kwa kuchepuliwa na wanawake zandiki tusiseme?
 
Usisababishe nikakuoa nami nikaingia mkenge huohuo mkuu.
Hapana... Mimi ni mwema, huwa napenda ua na miiba yake.... Njoo ujionee tofauti, I do promise after some years you'll come back here to rewrite this thread in a positive way... Njoo tuyajenge wasikutishe hao.. Come on beibe lol
 
Ni kama wewe mkuu, fanya yako acha kuhangaika na mimi humu. Wewe watu wanatesa familia zao kwa kuchepuliwa na wanawake zandiki tusiseme?
Don't be too general... Njoo kwangu ujionee tofauti... Unaandikiaje mate ilhali wino upo?
 
Hapana... Mimi ni mwema, huwa napenda ua na miiba yake.... Njoo ujionee tofauti, I do promise after some years you'll come back here to rewrite this thread in a positive way... Njoo tuyajenge wasikutishe hao.. Come on beibe lol

Baby nyie huwa mna maneno mazuri mwanzoni lakini baadaye mnageuka, hebu nipe guarantee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom