Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
Ni washenzi wanawake, huwajui tu, kwenye uchumba huwa ni watiifu kama vile wanapokea sakramenti. Baada ya kumwoa anabadilika, hapo ndipo utapanic maana hukutegemea.
Anyway sina uhakika ya kuwa wanabadilika lakini ninachoamini mimi ni kwamba sitegemei kuwa mlaini kiasi cha kuzidiwa ukorofi na mwanamke hata km atabadilika na kuwa alshabab!
 
Nyumba yako itageuka kuwa Cosovo.
 
Nyumba yako itageuka kuwa Cosovo.
Regardless lakini naamini nitamdhibiti na atanielewa mwisho wa siku atakubali kuweka silaa zake zote chini, ingawa sitegemei kwanza kufikia huko maana ni mbali sana maandiko yametufundisha tuishi nao kwa akili.
 
Na wachaga wanaume wakoje maana naelekea huko

Wanaweza kukudharau na kukudhalilisha muda wowote kutegemea na hali/background yako au familia yenu, ukoo na kabila. Wajeuri sana, mambo ya mapenzi hawana sana habari nayo, wao ni kusaka hela, kwa hiyo kama una michepuko yako unaweza kuimanage tu vizuri.
 
Mmmhhh mbona wanitisha ina maana u romantic wote huu anapretend mshkaji?
 
Regardless lakini naamini nitamdhibiti na atanielewa mwisho wa siku atakubali kuweka silaa zake zote chini, ingawa sitegemei kwanza kufikia huko maana ni mbali sana maandiko yamenitufundisha tuishi nao kwa akili.

Wanawake ni washenzi na huwa inafikia muda wanajitoa ufahamu, hutaamini hoja anazojenga pale mtakapokuwa mnaargue kuhusu jambo fulani, labda kakosea. Malumbano yenu mkiyapeleka kwingine au yakisikika kwa wazazi wako au wake anakusingizia vitu kibao, halafu huku akiwa macho makavu, lazima upanic. Donald Trump pamoja na ubabe wake wote lakini ndoa imemkalia kooni.
 
Mmmhhh mbona wanitisha ina maana u romantic wote huu anapretend mshkaji?

Kwenye uchumba kila mtu ni mwigizaji lakini viwango vinatofautiana. Subiri uingie kwenye ndoa, ndio utajua kwa nini unapishana na mtu asubuhi, unamsalimia lakini amenuna!
 
Wanawake ni washenzi na huwa inafikia muda wanajitoa ufahamu, hutaamini hoja anazojenga pale mtakapokuwa mnaargue kuhusu jambo fulani, labda kakosea. Malumbano yenu mkiyapeleka kwingine au yakisikika kwa wazazi wako au wake anakusingizia vitu kibao, halafu huku akiwa macho makavu, lazima upanic. Donald Trump pamoja na ubabe wake wote lakini ndoa imemkalia kooni.
Tutakeni radhi ushenzi wetu nini?.
 
Kwenye uchumba kila mtu ni mwigizaji lakini viwango vinatofautiana. Subiri uingie kwenye ndoa, ndio utajua kwa nini unapishana na mtu asubuhi, unamsalimia lakini amenuna!
Mchagga huyo!,lkn sasa ndio nampenda kufa nifanyeje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom