Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
ID sibadilishi.......na bado nitakukumbiza tu.........

Hakuna kitu, avatar yenyewe ina miaka zaidi ya kumi, imeanza kubore jukwaa, yaani wewe siku hizi umechuja. Baki tu na kazi ya umoderator.
 
Aaah wapi........Mimi ndio nakwambia......
 
Hakuna kitu, wewe mpaka leo hii usiolewe, una gundu gani hiyo? Wenzako wamejitutumua wameibuka na vifaa, japo wengine hawajadumu!
 
Hivi mwanaume unaanzaje kupelekeshwa na mwanamke? Mada zingine bwana. Yaani unaacha kuoa kabila fulani kwa kuogopa wanawake wa hilo kabila sijui mara ooh malaya sana, wauwaji, washenzi n.k. Huo ni udhaifu mkubwa.
Upo sahihi sana kamanda u got a point
 
Upo sahihi sana kamanda u got a point

Yupo sahihi lakini ajue kuna wanawake ni rigid bodies, hataki kukusikia na wewe hutaki, ndio maana unaona ndoa zinavunjika kila kukicha, hasa hizi zenye wanawake hawa entrepreneurs.
 
Shida ni nini mkuu ukiona mmeshindwana unapiga chini unatafuta muelekeo mwingine kwani amegeuka mama yako?
 
Oa ndio utajua zimwi ambalo watu wanakumbana nalo wanapofikiria kuachana, watu hujaribu kupima faida na hasara, kwanza na mara nyingi hili huwaweka pagumu.
 
Angalia Simba awindavyo vivyo hivyo katika maisha watakiwa kufanya.. Na ndivyo tufanyavyo na we we ukijichanganya tu tuna wewe. Ha ha ha ha
 
Oa ndio utajua zimwi ambalo watu wanakumbana nalo wanapofikiria kuachana, watu hujaribu kupima faida na hasara, kwanza na mara nyingi hili huwaweka pagumu.
Kwa upande wangu sizani km nitafikia hatua ya kumuoa wa dizaini hizo maana kwenye uchumba tu nahsi atakuwa amenielewa mimi ni wa namna gani, siwezi kupelekwa pelekwa kibwegebwege.
 
Ni washenzi wanawake, huwajui tu, kwenye uchumba huwa ni watiifu kama vile wanapokea sakramenti. Baada ya kumwoa anabadilika, hapo ndipo utapanic maana hukutegemea.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom