Siku hizi wanaume ni wachache sana,wengi wetu vivulana tu.kulalama tu hovyo..
Nyie waoneni tu weupe sijuhi wanakuchekea na wanapenda sana kuonekana wana dini sana lakini usidhubutu kuomba kuoa,wanatamani pale ndani yeye ndo awe kiranja na kama ikishindikana atataka mpaka aiharibu future yako kwahiyo kuweni makini na hawa watu ama sivyo msije jutia ndoa zenu maisha yote ..hawajuhi neno nisamehe hilo kwao halipo,anakosa na bado wanaanzisha fujo any time kwakweli they are so different
wapo ila wachache sana. Nina mchumba angu mchaga kwa malalamiko ambayo wenzangu wanayatoa kuelekea wake zao wachaga najihisi nina bahati, ni mnyenyekevu kwa kweli, nasikia raha hata kutaja jina lake anaitwa Grace
Sasa mnalalama nini na kila siku tunasikia ndoa zinatangazwa,wacheni kuoa hao viumbee kwani mnalazimishwa??
Ngoja waseme anti zangu akina miss chagga, mie zangu nazitafuta mwenyewe.
Nope, kabila zote zinaolewa na kuoa...lakini hawa jamaa wajichunguze. Haiwezekani kila mtu anawasema kila siku, kuna tatizo...kama ni pesa wao sio wa kwanza kuzisaka, kila mtu anategemea pesa kuishi. Kwa nini iwe wao tu kusemea na pesa?
Hawataki wanaume mafala ---- ndio maana ....Tatizo wanaume wa leo wengi hawajielewi....Ushaenda uchagani wewe ukaona Mandhari, nyumba na maisha yakule yalivyo? Hatutaki makyasaka
Huwa sipendi mnavyojipaisha hivyo nyie mashemeji...!Hawataki wanaume mafala ---- ndio maana ....Tatizo wanaume wa leo wengi hawajielewi....Ushaenda uchagani wewe ukaona Mandhari, nyumba na maisha yakule yalivyo? Hatutaki makyasaka
Asikudanganye huyo, ni maisha ya kawaida sana...siku hizi kila kabila watu wanaenda shule, sio wao pekee, sehemu nyingi zimejengwa na wala sio uchaggani tu...!Na hayo unayoyataja ndo yanaharibu ndoa kama hujuhi,mambo ya eti kwenu sijuhi mna ghorofa,meli sijuhi majumba ya kifahari havina uhusiano na unakokwenda kuolewa,ulikubali kwa hiari yako akuoe sasa siyo baadae unaanza kumletea dharau eti kisa kwenu pazuri ama ni matajiri kwani nani kakwambia yeye siku moja hawezi kuwa fulani ama wangapi walikuwa nazo lakini leo majarala? ukianza hivyo basi ujue unaenda kuiharibu ndoa yako mwenyewe kwa ujinga wako
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.
Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.
Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
Hata Mungu anapenda watu wenye pesa.
Halafu sasa ni kila kukicha mwanamke wa kichaga anaolewa....Hawana lolote hawa wanawapenda sema tuu basi...
Hawa wanayelalama ni wamekataliwa ukiona hivyo.