Wanawake wa kibongo wanaweza kuwafanyia manjago hivi kama anavyo huyu mwanamke wa ki italy?




Kaka huku kwetu ni wapigwe tu,nikirudi kwenye mada naona kama vile huyo mama walimuonea tu kumshitaki.Mbona askari mwenyewe anaonekana kurembua na anafurahia kitendo hicho,ni nini hasa kisa cha kumshitaki mama wa watu..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…