Wanawake wa kibongo wanaweza kuwafanyia manjago hivi kama anavyo huyu mwanamke wa ki italy?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
Italian Protester Faces Sexual Harassment Charge For Kissing Cop


7.si_.jpg
 

Attachments

  • Kiss cha nguvu.jpg
    Kiss cha nguvu.jpg
    29 KB · Views: 164
Askari wa ulaya hawapigi Raia wema hata kidogo. Askari wa Ulaya kazi yake ni kutuliza Raia sio kupiga Raia wema wana haki ya kuandamana kudai haki zao Serikalini. Ukiona nchi Askari wake wanawapiga Raia basi ujuwe hiyo nchi haifuati haki za kibinadamu utawala wake ni wa Ki-Dikteta.@ARV



Kaka huku kwetu ni wapigwe tu,nikirudi kwenye mada naona kama vile huyo mama walimuonea tu kumshitaki.Mbona askari mwenyewe anaonekana kurembua na anafurahia kitendo hicho,ni nini hasa kisa cha kumshitaki mama wa watu..??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom