Nyie mnapata wapi wanawake wa kuwaoa na utajuaje sasa huyu ni wa kumuoa?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,

Hapa nilipo nina wapenzi wengi sana na hata sioni mke kabisa, yani kila mpenzi wangu ninaye muangalia naona hafai kua mke, nashindwa kuelewa nyie mnapata wapi hao wanawake mnao waoa , napia ukiwa na mwanamke utajuaje huyu sasa ni wa kumuoa na awe mke wako.

Mimi nimejaribu sana naona sasa nitabakia kuwa mzinzi tuu, mlevi na muharibifu wa mabinti. Nayasema haya maana kwa wapenzi wangu sioni mke na kila mwanamke mpya ninaye mtongoza najikuta sasa hivi na mpuuzia tu yani hata akilini hakai kabisa kweli na mbaya nikisha lala nae ndiyo kabisa na muona wa kawaida na hamu ya kuoa inakata kabisa kabisa

Naombeni mawaiza yenu.
 
Back
Top Bottom