Wanawake wa kibongo wanaweza kuwafanyia manjago hivi kama anavyo huyu mwanamke wa ki italy?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,721
2,000
Italian Protester Faces Sexual Harassment Charge For Kissing Cop


7.si_.jpg
 

Attachments

  • Kiss cha nguvu.jpg
    File size
    53.3 KB
    Views
    162

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
Askari wa ulaya hawapigi Raia wema hata kidogo. Askari wa Ulaya kazi yake ni kutuliza Raia sio kupiga Raia wema wana haki ya kuandamana kudai haki zao Serikalini. Ukiona nchi Askari wake wanawapiga Raia basi ujuwe hiyo nchi haifuati haki za kibinadamu utawala wake ni wa Ki-Dikteta.@ARVKaka huku kwetu ni wapigwe tu,nikirudi kwenye mada naona kama vile huyo mama walimuonea tu kumshitaki.Mbona askari mwenyewe anaonekana kurembua na anafurahia kitendo hicho,ni nini hasa kisa cha kumshitaki mama wa watu..??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom