GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,030
Kwa uzoefu wangu..na ninabadili pads wastani wa kila masaa 3/4
Always haziko comfortable kabisaaa..texture na harufu
HQ ndo mpango mzimaaa...the best
Washauri na ndugu wa Kenya watakushukuru👨🏿Kwa uzoefu wangu..na ninabadili pads wastani wa kila masaa 3/4
Always haziko comfortable kabisaaa..texture na harufu
HQ ndo mpango mzimaaa...the best
huyo wa mwisho mwenye uke mdogo nimemkubali kinoma-noma
Harufu ya pedi yenyewe..kama ina manukato flani hivi ya kukeraHilo tatizo la harufu huwa linatokana na hizo Taulo / Sodo / Pedi au labda ni ' Mbunye ' yako tu ndiyo huwa ' inatema ' mno Dada? Tuanzie hapa Kwanza.
Wakenya naona wametumia baadhi ya kauli zisizofaa kwa wanawake wenzaoWashauri na ndugu wa Kenya watakushukuru👨🏿
Kweli kabisa kama ni utani wamevuka red lineWakenya naona wametumia baadhi ya kauli zisizofaa kwa wanawake wenzao
Lazima tufuatilie maana ni mahali "tunahudhuria sana", hivyo kama pana mushkeli ni hatali kwetu pia. Chukulia hizo pedi zina chemikali mbaya, si mpaka nzakali zetu zitapata shida!!!Harufu ya pedi yenyewe..kama ina manukato flani hivi ya kukera
Uke hauna harufu kabisa ukiwa huna magonjwa yoyote
Suala la pedi mwanaume kulivalia njuga mhhh kasheshe
HQ zinaloa mapema bhnaKwa uzoefu wangu..na ninabadili pads wastani wa kila masaa 3/4
Always haziko comfortable kabisaaa..texture na harufu
HQ ndo mpango mzimaaa...the best
Kwenye harufu ya peds hapo nakumbuka tulikuwaga sec afu ni gilrs tu so ilikuwa ikitokea wamevaa ped watu Kama watano ivi darasan basi ni harufu ya peds tu na hyo ilikuwaga free style ileHarufu ya pedi yenyewe..kama ina manukato flani hivi ya kukera
Uke hauna harufu kabisa ukiwa huna magonjwa yoyote
Suala la pedi mwanaume kulivalia njuga mhhh kasheshe