Wanawake wa Kenya wazikataa 'Pedi' za Always wakidai zinawatesa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Hatimaye Kundi kubwa la Wanawake wa nchini Kenya wamejitokeza hadharani kabisa Kuzipinga Taulo za Kike / Sodo ( Sanitary Pads / Sanitary Towels ) aina ya ' Always ' wakisema kuwa kila wanapokuwa wanazitumia huwa zinawatesa kwa ' Kuwawasha ' mno huku wakiitaka Serikali ya Kenya kupitia Mamlaka husika ' Kuzikagua ' kwani huenda kuna ' Hujuma ' kubwa inayofanywa ya ' Kiafya ' dhidi ya Wanawake wa nchini Kenya kutoka kwa nchi za Magharibi kupitia hizo ' Taulo ' za Kike.

Hata hivyo wakati Wanawake hao wa Kenya wakilalamika kuhusu hizo ' Taulo / Sodo ' za Always na hayo madhara yanayowapata huko Mitandaoni Wanawake Wenzao nao wamewashukia hao wanaolalamika huku ' wakiwachana ' mubashara ambapo baadhi ya hiyo ' michano ' au hayo ' madongo ' ni kama haya yafuatayo ambayo nayanukuu:

" Kwendeni zenu huko na acheni Kuchafua Biashara za Watu Wewe Mwanamke mzima unavaa Sodo / Taulo / Pedi Masaa 12 wakati Kiafya unatakiwa uvae kwa Saa kati ya 3 au 4 kwanini Uchi wako huo usikuwashe? "

" Sasa kama Mwanamke Mwenzangu hunyoi Mavuzi yako yaliyo makubwa kama Pori la Mlima Kenya kwani ukivaa hizi Taulo / Sodo za ' Always ' ambazo pia zinahitaji Mwanamke uwe Msafi usipatwe na huo muwasho huko Sirini / Ukeni Kwako? "

" Mimi mwenyewe hapa naandika nimevaa hiyo hiyo Sodo / Taulo / Pedi ya ' Always ' na huwa naitumia kila Mwezi ila sijawahi kupata hayo matatizo ya Muwasho pengine labda kwakuwa nina Uchi / Uke mdogo hivyo nawashauri nyie Wanawake wenzangu yawezekana Maumbile yenu pia ni makubwa kama Bonde la Ufa ndiyo maana zinawapa shida "

Huwa naziona sasa hizi Taulo / Sodo hapa Tanzania Kwetu huko Madukani hivyo sijajua kama na Wanawake wetu wa Tanzania wanaozitumia nao wanapatwa na haya madhara ya ' Muwasho ' ila nadhani sasa kupitia huu ' Uzi ' na Wao wanaweza Wakatiririka na Wakaserereka ili tuweze Kujua je Tatizo ni ' Always ' za Kenya au Wanawake wa Kenya au ni kweli kuna lililojificha juu yake?

Nawasilisha.

Chanzo Taarifa: Citizen Tv Kenya.
 
Kwa uzoefu wangu..na ninabadili pads wastani wa kila masaa 3/4
Always haziko comfortable kabisaaa..texture na harufu
HQ ndo mpango mzimaaa...the best

Hilo tatizo la harufu huwa linatokana na hizo Taulo / Sodo / Pedi au labda ni ' Mbunye ' yako tu ndiyo huwa ' inatema ' mno Dada? Tuanzie hapa Kwanza.
 
huyo wa mwisho mwenye uke mdogo nimemkubali kinoma-noma

Sasa hizi ' Nukuu ' ni chache Mkuu na ukitaka ucheke zaidi na uone jinsi Wanawake wa Kenya ' walivyochanana ' tena waziwazi nenda katika Mtandao wa Citizen Tv Kenya uone ' Meseji / Rununu ' zilizopo huko. Mimi nilidhani ni Wanawake tu wa Kitanzania / Kiswahili Kwetu hapa ndiyo wanajua ' Kuchambana ' kumbe Wanawake wa Kenya ni zaidi Mkuu na kuna sehemu zingine ukisoma ' Comments ' zao huko unaweza ukazivunja kabisa Mbavu zako kwa Kucheka.
 
Harufu ya pedi yenyewe..kama ina manukato flani hivi ya kukera

Uke hauna harufu kabisa ukiwa huna magonjwa yoyote

Suala la pedi mwanaume kulivalia njuga mhhh kasheshe
Lazima tufuatilie maana ni mahali "tunahudhuria sana", hivyo kama pana mushkeli ni hatali kwetu pia. Chukulia hizo pedi zina chemikali mbaya, si mpaka nzakali zetu zitapata shida!!!
 
Harufu ya pedi yenyewe..kama ina manukato flani hivi ya kukera

Uke hauna harufu kabisa ukiwa huna magonjwa yoyote

Suala la pedi mwanaume kulivalia njuga mhhh kasheshe
Kwenye harufu ya peds hapo nakumbuka tulikuwaga sec afu ni gilrs tu so ilikuwa ikitokea wamevaa ped watu Kama watano ivi darasan basi ni harufu ya peds tu na hyo ilikuwaga free style ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sioni haja ya kuziponda always kila mmoja atumie anazoziona comfortable. wale wa tampons haya, wale wa reusable haya, wale wa Human cherish haya, wale wa cups haya yote ni uchaguzi tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom