Wanawake wa karne hii mmetisha

Wanawake wa karne hii mmetisha

Ni tabia nzuri hiyo kwa mwanamke ya kutoruhusu dushere tofautitofauti kuingia papuchini, kwanza mwanamke unakongoroka, pili unajishushia heshima, tatu unajikaribishia magonjwa ya zinaa.
Mwisho unazeeka kabla ya wakati wako kufika wa kuzeeka.
wengi hawafahamu yule mwanamume anavyokuchukulia unapomruhusu kupakua asali yako wakati akijua una mume...
 
Kuwa Single mother siyo tatizo , tatizo ni kama hujitambui na ujithamini na utulie na mtu mmoja, hilo hilo ndiyo tatizo tena kubwa sana.
mkuu kama kuna uwezekano wa kuwepo kwa baba mzazi ni vyema maana si haki kwa mwanao kumnyima malezi ya baba...huenda asikwambie lakini huwa inamdhuru kisaikolojia anapowasikia watoto wengine wakisema hiki kaninunulia baba mara leo daddy ananiletea kile....kifupi wacha mtoto alelewe na wazazi wote wawili kama uwezekano upo
 
Hata asingeenda kumuona tungeongea mno mwanamke ana roho mbaya bla bla bla ndo kazi ya mdomo
 
Hata asingeenda kumuona tungeongea mno mwanamke ana roho mbaya bla bla bla ndo kazi ya mdomo
swali kuu lilikuwa mbona mademu wengi huwakubali wanaume wenye pesa wakaingia ndoa nao kisha wakati akitaka mtoto ana yule mpenzi wa pembeni ambaye anampa hilo jukumu la kutia ujauzito kisha baadae kuwasingizia wanaume wenye nyumba?
 
Wanawake wengi wa karne hii wanaingia kwenye ndoa sio kua wamewapenda hao wanaume!!! Wanatafuta maisha marahisi!!! Yaani wanaume wenye uwezo wasikurupuke kabisa kwenye kuoa... Mtu yupo tayari kumuacha mpenzi wake pembeni, tena wanakubaliana kabisa kua anaolewa ila nyapu bado anamuachia mpenzi wake wa pembeni!!!

Kuna mdada, rafiki wa rafiki, kaolewa yaani ndoa haina ata mwezi teyari anahangaika mtaani na mwanaume wake wa zamani! Yaani bila kuficha, marafiki zake wakimuuliza anasema pale kaolewa kupata matunzo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shogaaangu pole kwa banned ukitoka kifungoni uje uniambie kwann ulifungwa

cc: Paprika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom