Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
[emoji23][emoji23][emoji23]si kwamba umeridhika..ni kama vile hutaki ushindani[emoji23]
Unaangalia na mtu wa kushindana naye!!! Kwa huyu mwenzangu nimeona tutakwazana tu!
[emoji23][emoji23][emoji23]si kwamba umeridhika..ni kama vile hutaki ushindani[emoji23]
sio kama namaanisha hivo..nachojaribu kuuliza ni what makes women give their hands into marriages in which they dont intend to build a family from?why should a woman do that simply because the man he weds is rich?then later on allows another man (apparently their true lover)to sire her child then makes the man she is married to believe that hw was the one responsible for fathering that child?..why??Kwahiyo unasema hili jiwe almasi kauziwa ng'ombe kwenye gunia
[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaangalia na mtu wa kushindana naye!!! Kwa huyu mwenzangu nimeona tutakwazana tu!
Kwani wanaume hawazai nje bwana, hebu huko ![emoji108]ni baada ya kusoma story fulani hivi nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake (68%)hawana utu kabisa..
wanawake wengi katika ndoa zenye nafasi kifedha huishia kuzaa na wapenzi wao wa pembeni na kumletea mwanamme mwenye nyumba yule mtoto pasi ufahamu wake..
hivi huenda huyu mwanamuziki maarufu sana hapa bongo amefanyiwa hilo?maana juzi tumemwona mpenzi wake akidhihirisha waziwazi mapenzi yake kwa mumewe wa awali?..
sisemi si sawa kumtunza au kumjulia hali ex wako maana ndio utu ila huyu kapitiliza sana..
wanawake wenye tabia hizi ni nini kinachowapelekea kufunga ndoa na wanaume wasiopenda kupata watoto nao?ni tamaa ya pesa au ni ufuska tu?...
wanajukwaa naomba tushauliane...
nawasilisha>>
Msamiati sahihi hapo ni Laanamm nina bahati sana na wamama watyu wazima,,asikuambie mtu,,mtu mzima akiamua kuvua chupi anakupa uchi vilivyo
Wealth.. Kitu kimoja kibaya sana.sio kama namaanisha hivo..nachojaribu kuuliza ni what makes women give their hands into marriages in which they dont intend to build a family from?why should a woman do that simply because the man he weds is rich?then later on allows another man (apparently their true lover)to sire her child then makes the man she is married to believe that hw was the one responsible for fathering that child?..why??
Kama kafanana na wajomba zake?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani miaka hii mwanamke akijifungua mtoto kafanana na mumewe anamshukuru Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]
mada iko wazi mkuu...kwa nini mwanamke akubali kuolewa na mwanamme kisa pesa?..ilhali mwenyewe anafahamu moyoni mwake hayuko tayari kuzaa na yule bwana?..mwisho wa siku anapachikwa mimba na mpenzi wake wa pembeni (handsome wake wa moyoni)na kisha kumsingizia huyu bwana mwenye nyumba ule ujauzito na baadae mtoto?...why cant you just settle with the man you love kuliko kumfanyia mwenzako dharau??Kwani wanaume hawazai nje bwana, hebu huko ![emoji108]
Ndo amechagua wa kusettle nae hivo, watu wanajinadi kwa pesa kumnasa mrembo hlf baadae mnalaumu kwanini kampendea pesa... seriously!?mada iko wazi mkuu...kwa nini mwanamke akubali kuolewa na mwanamme kisa pesa?..ilhali mwenyewe anafahamu moyoni mwake hayuko tayari kuzaa na yule bwana?..mwisho wa siku anapachikwa mimba na mpenzi wake wa pembeni (handsome wake wa moyoni)na kisha kumsingizia huyu bwana mwenye nyumba ule ujauzito na baadae mtoto?...why cant you just settle with the man you love kuliko kumfanyia mwenzako dharau??
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] .nimependezwa na sehemu ya mwisho hapo uliposema hayakuhusu..ila naomba ufahamu kuwa hata ukifanikiwa kumnasa kwa chambo cha mali,unategemea mtoto atulie akuzalie watoto mlee pamoja..si kwa hiyo tabia ya kutoka nje ya ndoa na kisha kurudi na uzito wa mwanaume mwingine...ingekaa vyema akaoleke kwa huyo mpenzi wakeNdo amechagua wa kusettle nae hivo, watu wanajinadi kwa pesa kumnasa mrembo hlf baadae mnalaumu kwanini kampendea pesa... seriously!?
Yaani unamlaumu samaki uliyemvua kwamba ni kosa kunasa kwenye chambo huku ndio lilikuwa lengo au unasahau. Tena inawezekana kuna aliyeachwa huku anampenda kweli huyo bwana hata asingekuwa na pesa.
jeuri ya pesa eeh unakula jeuri yako la kulea watoto wa wenzio.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] But its non of my business
Kosa lilishafanyika mwanzo, labda angevutiwa na kitu kingine kwa mwanaume tofauti na pesa. Amefuata pesa, yani ndoa imekuwa ajira kwake kama alivyoshawishiwa kwamba akija ataogelea kwenye pesa sasa utamkatazaje part time jobs a.k.a kazi za nje.[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] .nimependezwa na sehemu ya mwisho hapo uliposema hayakuhusu..ila naomba ufahamu kuwa hata ukifanikiwa kumnasa kwa chambo cha mali,unategemea mtoto atulie akuzalie watoto mlee pamoja..si kwa hiyo tabia ya kutoka nje ya ndoa na kisha kurudi na uzito wa mwanaume mwingine...ingekaa vyema akaoleke kwa huyo mpenzi wake
Mmmh[emoji4]Kawaida tu Dada
Mkuu upoweee ukishaoa mwanamke ambaye alishagegedwa kabla ya ndoa usijidanganye kamwe eti hata gegedwa nje ya ndoa. wewe gegeda papuchi pata raha basi.
Shoree umenikoshaa,on point...Ndo amechagua wa kusettle nae hivo, watu wanajinadi kwa pesa kumnasa mrembo hlf baadae mnalaumu kwanini kampendea pesa... seriously!?
Yaani unamlaumu samaki uliyemvua kwamba ni kosa kunasa kwenye chambo huku ndio lilikuwa lengo au unasahau. Tena inawezekana kuna aliyeachwa huku anampenda kweli huyo bwana hata asingekuwa na pesa.
jeuri ya pesa eeh unakula jeuri yako la kulea watoto wa wenzio.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] But its non of my business
Mkuu upo
Ni tabia nzuri hiyo kwa mwanamke ya kutoruhusu dushere tofautitofauti kuingia papuchini, kwanza mwanamke unakongoroka, pili unajishushia heshima, tatu unajikaribishia magonjwa ya zinaa.Si kweli mkuu! Ni swala la uaminifu! Wengine ata kwenye mahusiano hatuwezi ruhusu dushr kupokezana kwenye papuchi!
Kuwa Single mother siyo tatizo , tatizo ni kama hujitambui na ujithamini na utulie na mtu mmoja, hilo hilo ndiyo tatizo tena kubwa sana.Wengine wanaingia kwenye ndoa kutest zali...Halafu unakuta ni Single Mom