Wanawake wa karne hii mmetisha

the viking

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
1,170
1,372
ni baada ya kusoma story fulani hivi nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake (68%)hawana utu kabisa..

wanawake wengi katika ndoa zenye nafasi kifedha huishia kuzaa na wapenzi wao wa pembeni na kumletea mwanamme mwenye nyumba yule mtoto pasi ufahamu wake..

hivi huenda huyu mwanamuziki maarufu sana hapa bongo amefanyiwa hilo?maana juzi tumemwona mpenzi wake akidhihirisha waziwazi mapenzi yake kwa mumewe wa awali?..

sisemi si sawa kumtunza au kumjulia hali ex wako maana ndio utu ila huyu kapitiliza sana..

wanawake wenye tabia hizi ni nini kinachowapelekea kufunga ndoa na wanaume wasiopenda kupata watoto nao?ni tamaa ya pesa au ni ufuska tu?...

wanajukwaa naomba tushauliane...

nawasilisha>>
 
Ulimbuken na kasumba ya kutaka kuishi maisha ya kifahari na kufuja Mali tu,,, akimaliza chake unamuona anatoka nduki hata hakukumbuki tena
 
Hili ndilo tatizo la kuoa mwanamke ambaye ashazaa na mwanaume mwingine. Kuna wakati hawajitambui kabisa.
Sio kwamba Diamond haumii,anaumia tena sana ila tu anajikaza tu.
Lakini mwanzo wakati mnaanza mahusiano ataapa kila aina ya kiapo kuwa hatorudi na hana mpango naye.
Mungu atusaidie sana.
Sorry kama kuna niliyemkwaza.
 
Wanawake wengi wa karne hii wanaingia kwenye ndoa sio kua wamewapenda hao wanaume!!! Wanatafuta maisha marahisi!!! Yaani wanaume wenye uwezo wasikurupuke kabisa kwenye kuoa... Mtu yupo tayari kumuacha mpenzi wake pembeni, tena wanakubaliana kabisa kua anaolewa ila nyapu bado anamuachia mpenzi wake wa pembeni!!!

Kuna mdada, rafiki wa rafiki, kaolewa yaani ndoa haina ata mwezi teyari anahangaika mtaani na mwanaume wake wa zamani! Yaani bila kuficha, marafiki zake wakimuuliza anasema pale kaolewa kupata matunzo tu.
 
weee ukishaoa mwanamke ambaye alishagegedwa kabla ya ndoa usijidanganye kamwe eti hata gegedwa nje ya ndoa. wewe gegeda papuchi pata raha basi.
 
Wanawake wengi wa karne hii wanaingia kwenye ndoa sio kua wamewapenda hao wanaume!!! Wanatafuta maisha marahisi!!! Yaani wanaume wenye uwezo wasikurupuke kabisa kwenye kuoa... Mtu yupo tayari kumuacha mpenzi wake pembeni, tena wanakubaliana kabisa kua anaolewa ila nyapu bado anamuachia mpenzi wake wa pembeni!!!

Kuna mdada, rafiki wa rafiki, kaolewa yaani ndoa haina ata mwezi teyari anahangaika mtaani na mwanaume wake wa zamani! Yaani bila kuficha, marafiki zake wakimuuliza anasema pale kaolewa kupata matunzo tu.

Umeongeaa fact sana aisee....huu ni ukweli mtupu siku hizi wasichana wengi ndio mlivyo mnapenda kuolewaa pale ambapo kwenye unafuu wa maishaa
 
Mianamke mingine ni hatari,unalioa linakushushia heshima kila kona,nashauri sisi ambao hatujaoa tukachukue wake mbali na maeneo tutakayoishi ili agongwe maramojamoja na ex wake,na akigongwa ukagundua,muache apate naye aibu pamoja na familia yake,wanakera sana.
 
Kwa wale wanaume walio na ndoa na wanagegeda nje ni wepes zaid kugegeda wanawake ambao hawapo kwa ndoa,,ila wanawake wengi walioko ndoani wanagegedwa na waume za watu,,sijui kwa nn inakua namna hii...

Kwan kuna dhambi gan zari kwemda kumjulia hali Aliekua mumewe na aliezaa nae watto wa3? Kama watto je ndio walishinikiza mama awapeleke? Utawakatalia watto wako kisa huna mahusiano na hyo mtu?? Kwa hyo hata akifa asiende kuzika kisa waliachana?

Kuoa au kuolewa na mtu mwenye mtoto nje na wewe ni mtihan ila kuufaulu huu lazma ujitoe akili kidgo,,aidha hyo mtto asionekane hapo kwako maisha yake yote,au huyo mtoto ukimchukua asije yyte kumwona maisha yte,,au apelekwe kulelewa sehem tofauti asionekane asilan... Kinyume chake itakugharim sana,, na kwa nn uoe au kuolewa na mtu mwenye mtoto? Kama una mtoto na mwenzako hana usithubutu kuingiza gia hapo itakuja kula kwako,au bora utafute wote muwe na watto na mupeane kabsa hakuna wazaz wao kikanyaga hapo asilan,, akili za kuruka kdgo
 
mapenzi,mahusiano ni kitu/vitu vilivyo na research nyingi sana nchini,tafsiri nyingi sana nchin, wajuzi wengi sana nchin, threads nyingi sana nchini na vilio ving sana kuliko furaha sababu ya mengi yaletwayo na kuyasikia ni vilio lawama tuu..wengi tunaishi na wapenzi wa watu wangu yuko kule na na wa yule nipo nae kwa kigezo cha umri,pesa,nafasi/nyadhifa,kukataliwa/kukubaliwa,mimba isiyotarajiwa na kuitaji malez ya pamoja..
 
Back
Top Bottom