the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
- Thread starter
- #21
mkuu tupe maarifaAseeh polen sana
mkuu tupe maarifaAseeh polen sana
hivi diamond aliuona uwezekano wa kusalitiwa kimbele hata akatoa ule wimbo wa utanipenda?Hili ndilo tatizo la kuoa mwanamke ambaye ashazaa na mwanaume mwingine. Kuna wakati hawajitambui kabisa.
Sio kwamba Diamond haumii,anaumia tena sana ila tu anajikaza tu.
Lakini mwanzo wakati mnaanza mahusiano ataapa kila aina ya kiapo kuwa hatorudi na hana mpango naye.
Mungu atusaidie sana.
Sorry kama kuna niliyemkwaza.
hivi wapo tu wafaidi maisha ya kifahari?...Wanawake wengi wa karne hii wanaingia kwenye ndoa sio kua wamewapenda hao wanaume!!! Wanatafuta maisha marahisi!!! Yaani wanaume wenye uwezo wasikurupuke kabisa kwenye kuoa... Mtu yupo tayari kumuacha mpenzi wake pembeni, tena wanakubaliana kabisa kua anaolewa ila nyapu bado anamuachia mpenzi wake wa pembeni!!!
Kuna mdada, rafiki wa rafiki, kaolewa yaani ndoa haina ata mwezi teyari anahangaika mtaani na mwanaume wake wa zamani! Yaani bila kuficha, marafiki zake wakimuuliza anasema pale kaolewa kupata matunzo tu.
lakini ni mkeo..haya utayakabirije mkuu?weee ukishaoa mwanamke ambaye alishagegedwa kabla ya ndoa usijidanganye kamwe eti hata gegedwa nje ya ndoa. wewe gegeda papuchi pata raha basi.
katika kutesttest walikwisha fungwa goliWengine wanaingia kwenye ndoa kutest zali...Halafu unakuta ni Single Mom
ndivyo wengi wanafanya siku hizi mkuu..unapata mtoto wa kike kafata pesa wala si kwa ajili ya mapenzi..mwisho wa siku anachepuka na yule mpenzi wake wa moyoniUmeongeaa fact sana aisee....huu ni ukweli mtupu siku hizi wasichana wengi ndio mlivyo mnapenda kuolewaa pale ambapo kwenye unafuu wa maishaa
wa kwangu ukinigongea nigundue nakuzawadia...[emoji30]Mianamke mingine ni hatari,unalioa linakushushia heshima kila kona,nashauri sisi ambao hatujaoa tukachukue wake mbali na maeneo tutakayoishi ili agongwe maramojamoja na ex wake,na akigongwa ukagundua,muache apate naye aibu pamoja na familia yake,wanakera sana.
mkuu rejelea mada..hamna ubaya wowote ila inauma sana...hata ukiwa mustaarabu vipi bado ina challenge ya aina fulani..kwanza ukizingatia huyu ni msanii mkubwa hivyo wakati mwingi anafuatiliwa..Kwa wale wanaume walio na ndoa na wanagegeda nje ni wepes zaid kugegeda wanawake ambao hawapo kwa ndoa,,ila wanawake wengi walioko ndoani wanagegedwa na waume za watu,,sijui kwa nn inakua namna hii...
Kwan kuna dhambi gan zari kwemda kumjulia hali Aliekua mumewe na aliezaa nae watto wa3? Kama watto je ndio walishinikiza mama awapeleke? Utawakatalia watto wako kisa huna mahusiano na hyo mtu?? Kwa hyo hata akifa asiende kuzika kisa waliachana?
Kuoa au kuolewa na mtu mwenye mtoto nje na wewe ni mtihan ila kuufaulu huu lazma ujitoe akili kidgo,,aidha hyo mtto asionekane hapo kwako maisha yake yote,au huyo mtoto ukimchukua asije yyte kumwona maisha yte,,au apelekwe kulelewa sehem tofauti asionekane asilan... Kinyume chake itakugharim sana,, na kwa nn uoe au kuolewa na mtu mwenye mtoto? Kama una mtoto na mwenzako hana usithubutu kuingiza gia hapo itakuja kula kwako,au bora utafute wote muwe na watto na mupeane kabsa hakuna wazaz wao kikanyaga hapo asilan,, akili za kuruka kdgo
ndivyo wengi wanafanya siku hizi mkuu..unapata mtoto wa kike kafata pesa wala si kwa ajili ya mapenzi..mwisho wa siku anachepuka na yule mpenzi wake wa moyoni
mkuu hivyo unamaanisha asilimia kubwa hawajatulia kwa mpenzi sahihi ama ndio vipi?mapenzi,mahusiano ni kitu/vitu vilivyo na research nyingi sana nchini,tafsiri nyingi sana nchin, wajuzi wengi sana nchin, threads nyingi sana nchini na vilio ving sana kuliko furaha sababu ya mengi yaletwayo na kuyasikia ni vilio lawama tuu..wengi tunaishi na wapenzi wa watu wangu yuko kule na na wa yule nipo nae kwa kigezo cha umri,pesa,nafasi/nyadhifa,kukataliwa/kukubaliwa,mimba isiyotarajiwa na kuitaji malez ya pamoja..
kweli mkuu...ukweli usiopingika ni kuwa zaidi ya 70% ya wanaume wanalea mimba na hatimaye watoto wa wanaume wengine..ndiyo sababu mtoto anafikia ukubwani na kuanza dharau kwa "babake"Suala hilo lipo wazi mbona mana hata chanzo cha single mother wengi ndio hivyoo
Unakuta msichana yupo kwenye mahusiano na mvulana mwisho wa siku mwanamke anabeba ujauzito wa mwanaume pasipo makubaliano na huyoo mwanaume mwisho wa siku mwanaume anaamua kulea mimba tuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo manamake ya siku hizi hayo, yanajua kupara uso na kufyata makalio.........
mko wachache sana wenye misimamo hii , vzuri sana aiseeSi kweli mkuu! Ni swala la uaminifu! Wengine ata kwenye mahusiano hatuwezi ruhusu dushr kupokezana kwenye papuchi!
lakini D.N.A ina gharama kubwa mkuu...mimi nishajiwekea , watoto wangu wote lazma kwa mkemia tukapime D.N.A
silei wa kusingiziwa mimi
lakini ni mkeo..haya utayakabirije mkuu?
Yaani miaka hii mwanamke akijifungua mtoto kafanana na mumewe anamshukuru Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]mimi nishajiwekea , watoto wangu wote lazma kwa mkemia tukapime D.N.A
silei wa kusingiziwa mimi
bora kule ulaya..mnaandikiana contract ya miaka mingapi mtakuwa pamoja..baada ya hapo mtu na hamsini zake...mkeo ndio lakini najua atagegedwa nje ya ndoa....mke ni for business...the business is having kids basi