Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Nasikia wanaume wengine akikutana na danga anaanza kumuhesabia hadi thamani ya chakula na vinywaji [emoji3][emoji3]

Yanakuwa ndo malipo [emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wakike wasome na kufanya kazi siyo kuishi kwa kutegemea K ni kujidhalilisha!
 
Mkuu mungu anakuona yani mtoto wa watu katonga tanga hadi kwako isitoshe unemchapa nao alafu unampa 7800 kweli
Mbali na kumchapa nao kutoka sehemu moja hadi kwako kaonyesha jinsi gani anajari kwanini wewe usimjari. Sio ustarabu. tujifunze kuwajari hawa watu ili waendelee kutujari na kututhamini.
Ni mama zetu, dada zetu, wapenzi wetu na wake zetu pia
 
Sasa mwanaume anajiuliza nikiona mwanamke mwenye kazi yake atafaidika zaidi sababu;
1. Family Cost sharing
2. Kufaidi papuchi kuko palepale,
3. Stress free , mwanaume hataelemewa kuambiwa mahitaji chungu nzima kil wakati,

Mwanamke mwenye kazi mahitaji yake mengi anaweza kuyamudu mwenyewe na ya wazazi/ ndugu zake,
 
Ukioa mwanamke asiye na kazi mwanaume kumhumia yeye , familia na wazazi/ ndugu zake
 
Jifunze kupambana na hali yako bila kutibua hali za wengine.
 
Wakudanga siku hizi wako kwenye wakati mgumu sana [emoji3][emoji3]

Wanaume wengi wamestuka, hawaibiwi kirahisi!

Wanawake wengine wamekuwa wakiishia kukopwa huduma ya papuchi [emoji3][emoji3][emoji3]

Nidhamu ya familia na jamii imeanza kurejea !

Chama cha mabaharia
 
Nasikia wanaume wengine akikutana na danga anaanza kumuhesabia hadi thamani ya chakula na vinywaji [emoji3][emoji3]

Yanakuwa ndo malipo [emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wakike wasome na kufanya kazi siyo kuishi kwa kutegemea K ni kujidhalilisha!

Hatar hii[emoji23][emoji23]
 
Mbali na kumchapa nao kutoka sehemu moja hadi kwako kaonyesha jinsi gani anajari kwanini wewe usimjari. Sio ustarabu. tujifunze kuwajari hawa watu ili waendelee kutujari na kututhamini.
Ni mama zetu, dada zetu, wapenzi wetu na wake zetu pia

Mkuu unajikuta una huruma sana
 
sasa anatafuta laki huko mara cutelove
 
Najikuta na feel pain ya huyo binti. Daah. Huo ni zaidi ya unyama bora hata umpe nauli ya kurudi kwao. Yani ukishatimiza haja zako ndo unamuona kama takataka daah. Is not fair kabisa KABISA. Ni zaidi ya unyama.

Hawajawai kukufanyia umafia ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…