Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Mademu wa humu wanajifanyaga matawi kumbe hakuna kitu...

Kuna mmoja nilimfata PM,mdada mmoja hivi mjanja mjanja sana kwenye MM,basi nikaomba number akanipa,nikaanza nae ado ado,siku moja nikaenda kikazi mkoa alipo yeye,nikamwambia akaja,tukanywa nikapiga papuchi....

Siku moja tena akaanza kunitumia mapicha picha yake,anamkandia sana bwana wake,bila ya hiyana nikamwambia tukutane mkoa ambao uko katikati ninapotoka mimi na anapotoka yeye,akaja kweli nikala papuch,siku moja akaja mkoani kwangu nikala papuchi... Akaja nikera tu,vizinga kila siku,mara birthday ya mtoto,mara mama anaumwa,mara sijui vile...

Nikapiga chini... Anaanza sumbia akala block.. basi maisha yakaendelea
 

Mungu awasaidie
 
Ha ha mkuu utatuaibisha wanaume wenzio hutakiwi kuja hapa kuwalalamikia Bali tunatakiwa kuwasitiri tukilalama Basi na sisi tunanjaa..
Nakubaliana na wewe. Ndio maana wanaume wote tunaonekana wavulana humu ndani kwa post kama hizi, kama mwanamke ana njaa ni jukumu letu kama wanaume kuhakikisha anashiba na sio kulia lia. HAIPENDEZI.
 
Wakudanga siku hizi wako kwenye wakati mgumu sana [emoji3][emoji3]

Wanaume wengi wamestuka, hawaibiwi kirahisi!

Wanawake wengine wamekuwa wakiishia kukopwa huduma ya papuchi [emoji3][emoji3][emoji3]

Nidhamu ya familia na jamii imeanza kurejea !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…