Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Pole mkuu.Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Tanga mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.
NAWASILISHA TU,
Wakuu habari zenu,

Subiri utukanwe mdada atakuwa radhi apigwe ban ilimradi akuangushie kitu. Madam B mwenyewe balaa la kufa mtu akisoma huu uzi wako sijui kama utapona atakuanzia PM ndio akujie hapa, itabidi nipite bila kusoma maana nikirudi nyumbani naweza nikamzibua 😂Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Tanga mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.
NAWASILISHA TU,
Pole mkuu.
Wamekupiga?
Subiri utukanwe mdada atakuwa radhi apigwe ban ilimradi akuangushie kitu. Madam B mwenyewe balaa la kufa mtu akisoma huu uzi wako sijui kama utapona atakuanzia PM ndio akujie hapa, itabidi nipite bila kusoma maana nikirudi nyumbani naweza nikamzibua [emoji23]
Nani huyo katokea Tanga tena?mbona yule wa 7800 alitokea mwanza
Ndio maana wengine wamefunga Pm zao kwa mambo kama hayo
Hivi game ya taifa stars imeisha?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Alitoka mwanza sio tanga, au nani katoka tanga
Mkuu mungu anakuona yani mtoto wa watu katonga tanga hadi kwako isitoshe unemchapa nao alafu unampa 7800 kweli