Wanawake wa JF badilikeni!

Status
Not open for further replies.
hahaaaaaaa
ulifikiri atatokea kama maneno yake na avatar yake?
 
UUUUUUUUUPSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
MASTERS AT UDSM????hii do research na majibu yake????

ivi hiyo thinking capacity ifanye iwe ya busara??eti wasichana wa JF?? kwenye PM ulikuwa mwenywe sasa iweje ulalamike? malkia wa KIAFRIKA ulimuumba wewe/????
HIGH EXPECTATION pole yako watu wavavyochangia hpa in REALITY hawapo kiivyo huenda hata yeye alitarajia kumpata HANDSOME with SIX PACKS ila kakukuta wewe
 
Aseeee hiii story ya kutunga imekaa poa sna
 
kumbe kutoa mawazo ni kubwatuka
 
Yakhee wee ndiyo huna adabu kweli !!!!! Sasa ya nini kumdhalilisha na kuja kumkashifu au kukashifu sistaz wa JF !! wewe ndiyo uliyemuumba? weka heshima na upotezee.
Hopeless man....! aibu hata kujiita dume.
 
hapana mkuu mimi angekuja huku analia kwa sura ambayo angekutaa anyo afu nakula nakunywa bila kujali angejuta
Sasa ndio mchukue tahadhari, mambo ya kukutana na watu wa jf sio afya. Hahaha mkuu, Ulivyo sisitiza hiyo sura mpaka unanivuta PM nkutafute private.
 
Sasa ndio mchukue tahadhari, mambo ya kukutana na watu wa jf sio afya. Hahaha mkuu, Ulivyo sisitiza hiyo sura mpaka unanivuta PM nkutafute private.

ha h ha ha ha hah a kama unahamu ya kulia njoo.... ole wako baada ya kulia ulete maneno huku jukwaani
 
Yakhee wee ndiyo huna adabu kweli !!!!! Sasa ya nini kumdhalilisha na kuja kumkashifu au kukashifu sistaz wa JF !! wewe ndiyo uliyemuumba? weka heshima na upotezee.
Hopeless man....! aibu hata kujiita dume.

Halaf atuwekee hapa dada zake wote tuone kama ni wakaleee
 
ha h ha ha ha hah a kama unahamu ya kulia njoo.... ole wako baada ya kulia ulete maneno huku jukwaani
Mimi sitajutia, ila hata kama unatisha nagegeda kwanza, kama kujuta baadae..I have to complete the mission first.
Hizi ndio hasara za Easy target
 
hahahaha
umeonaeeeh bora umemwambia ukweli
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…