Mdada wa watu kajikoki, simpatii picha alivyojipanga..Kama nawaona vile pale brajec, hahaha very funny!!!!sasa yeye sijui alitaka demu wa aina gani mtoto kaingia gharama hadi ya wigi afu anaponda aisee chalii mbaya huyu
hahaaa! Kwan ww sura ngumu? Usije kutoa siri hapa siku tukionana pale sansiro pub
sasa yeye sijui alitaka demu wa aina gani mtoto kaingia gharama hadi ya wigi afu anaponda aisee chalii mbaya huyu
Mdada wa watu kajikoki, simpatii picha alivyojipanga..Kama nawaona vile pale brajec, hahaha very funny!!!!
huyu dogo bado. Wenzie hawatoi siri hizo hata kama mbaya vp we siku hyo ya kwanza unafumba macho unagegeda hivyohvyo halafu unaiweka blacklist
Wahaya? wahaya tena mkuu...hahahaaNdio tatizo kuonana na wahayaa wanajiona wao wamekamilika kila idaraa,utakuta hapo nae sura mbayaa kwelii
mimi siwezi fanya ujinga huu kama sura ngumu nakimbia tu
Yah, watakua vijana, damu inchemka kidogo. Haya mambo yalikua sana FB miaka ya nyuma kidogo, nadhani siku hizi hakuna tena.ila huyu anaweza kuwa kundi la kati kati mwanume anayejielewa awezi fanya hivyo ... huyu jamaa jing sana
mmhh kudadeki ukila mzigo uniweke blacklist si sawa ... jamaaa alitengeneza demu wake kichwani akaja mwingine
Unajua mkuu, nlivyoona hautokei huku nkajua imekubamba...hahahahahahammhh kudadeki ukila mzigo uniweke blacklist si sawa ... jamaaa alitengeneza demu wake kichwani akaja mwingine
Khaaaah!! Una kaziiiii !!!!
Kumbe wahanga wengi!!!!Mimi napita nimesoma kimyakimya kwakuwa hainihusu na yalishanitokea mmoja akaenda mbali zaidi akitaka kujua kama ninamahusiano nikamuuliza kwani wewe ulitakaje nataka mume siyo mtu wakunipotezea mda nikamwambia bora umesema maana nileo tumekutana na leo unataka uwemke mhm!
Unauliza kuvua mkanda mahabusu na maswali mengi polis
bora nihamie tandale kwa tumbo sasa!
Unauliza kuvua mkanda mahabusu na maswali mengi polis