Wanawake wa JF badilikeni!

Status
Not open for further replies.
tatizo wewe ulitengeneza mtu wako kichwani alipofika mwenyewe ndo ukakutana kitu chenyewe hata ulishindwa omba picha kwanza ukome kudandia wadada wa watu... hapa 99% ni fake
 
Nimesoma kimyakimya ngoja nitembee coz hainihusu
 
Hee na ukome kutaka wanawake humu,tena ungekutana na mim ungekufa kabisaa wengine tumo humu lakin ni majiniu yanayotumia mtandao
 
Uzur wa mtu upo machon pa mtu. Kama ww hukumpenda kwann unamkejeri? Kwan ww ni mzur na unapendwa na wote........ Acha tabia za wamama wa kizaramo mtoto wa kiume. Amang'ana
 
Let me pass.
 
Attachments

  • 1395745743513.jpg
    59.4 KB · Views: 65
yani sio vzr kabisa ukute dada wa watu alienda kukutana nae kwa nia njema kabisa akijua finally labda ameshapata mwenza, sasa leo akifungua akakuta thread kama hii unazani self esteem yake itakuaje?
na kweli mwenzangu, aliwaza tofauti na atakachokiona hapa...Lakini tujifunze na tukumbuke humu kuna mapapa,watu na visigino
 
ungemgonga kabisa ili utuambie na ubora wa engine........
 
huyu mnamwamini? kwa akili hii ni mdada gani wa jf atakuwa amekubali kumwona?
 
Uzur wa mtu upo machon pa mtu. Kama ww hukumpenda kwann unamkejeri? Kwan ww ni mzur na unapendwa na wote........ Acha tabia za wamama wa kizaramo mtoto wa kiume. Amang'ana

ana bahati angekutana na mimi angekoma aisee kukutana na mtoto sura ngumu tena sura haijua hat kutabasamu loh angejuta kuni PM
 
Hapa JF kutakua na mtandao mkubwa sana wa ngono,,,Chini chin watu na PM zao, yakiwaharibikia wanakuja kutupa thread za kuaibishana....So funny. Ukitaka kumfuata mtu PM utujulishe pia ili kuepusha haya yote.
 
Ndio tatizo kuonana na wahayaa wanajiona wao wamekamilika kila idaraa,utakuta hapo nae sura mbayaa kwelii
 
Hapa JF kutakua na mtandao mkubwa sana wa ngono,,,Chini chin watu na PM zao, yakiwaharibikia wanakuja kutupa thread za kuaibishana....So funny. Ukitaka kumfuata mtu PM utujulishe pia ili kuepusha haya yote.

sasa yeye sijui alitaka demu wa aina gani mtoto kaingia gharama hadi ya wigi afu anaponda aisee chalii mbaya huyu
 
ana bahati angekutana na mimi angekoma aisee kukutana na mtoto sura ngumu tena sura haijua hat kutabasamu loh angejuta kuni PM

hahaaa! Kwan ww sura ngumu? Usije kutoa siri hapa siku tukionana pale sansiro pub
 
High expectations huleta worst dissapointments.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…