Wanawake wa JamiiForums ni watemi sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,775
699,162
Wallah sitasahau siku moja alfajiri kama hii nilipewa bonge la msonyo ule wa kuandikika! MXIUUU
Malumbano ya hoja ukichanganya na vichwa vibovu ndani ya forum huwageuza watu automatically kutoka kwenye upole mpaka kuwa mabanditu hasa
Kuna mabinti humu wamedate na matapeli, wengine pasua wengine wamekopwa malovee wengine sio cash tu bali wamekopwa mpaka vocha
Utapeli ndio kabisaa !!! Hawa ni wahanga wakubwa kwenye hili...ukikutana na binti mkorofi sana hapa JF usimlaumu wala kumchukia
Jua tu kwamba alishawahi kutapeliwa pesa na ndoa feki na hata vitu vya thamani
Jua tu kwamba alishawahi kukopwa mpaka mapenzi
Jua tu kwamba alishawahi Ku ASSIST sana kwenye vyote!
Jua tu kwamba alishawahi kuchomeshwa mahindi sana
Jua tu kwamba alishawahi kudanganywa na kugonganishwa sana
Jua tu kwamba ni mwathirika wa mahusiano yaliyovunjika nknk
Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU
 
Sky Eclat wangu ni mpole, mtii, mnyenyekevu, ana upendo, hofu ya MUNGU, na ni mvumilivu sana. Kwa tabia zake nichepuke ili iweje?
2014-07-02-e580779b1bafb07c04409dd9c4f8d440.jpg
 
Nimezungumzia kwa asili wako hivi ila maisha ndio yanaeabadili
Kidooogooo unanishawishi nije nije kwenye mlengo wako. Lakini mkuu, hata wanaume huamua kuwafanyia hayo yote(kuwakopa, kuwapiga na kuwadhulumu, n.k) si kwa kupenda;ila nasi unakuta tumebadilishwa na kufanywa tuwe na roho ndimu,roho chachu.

Mbona hata sisi ni wapole kiasi, wanyenyekevu kiasi, na tuna upendo wa kweli vilevile.

Hao ni wapole ila wakibadilika ni ntoleee huwa hawarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom