Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,504
La mahindi hilo, huoni hapo chini vimahindi vilivyoanguka angukaGunia la pamba hilo
UsipoteZe muda kubishana na wanaume wa darisalamaLa mahindi hilo, huoni hapo chini vimahindi vilivyoanguka anguka
Ha ha ha haUsipoteZe muda kubishana na wanaume wa darisalama
N wewe ni mwanaume wa Darisalama??dar itawatoa roho maana mnaiwazia sana
wanaume wa dar...kazi zao kunywa maji tu eti wawe weupe!UsipoteZe muda kubishana na wanaume wa darisalama
Umesahau na kushinda saloon kila mwisho wa week ati wanafanya scrubbing...wanaume wa dar...kazi zao kunywa maji tu eti wawe weupe!
Hahaha afu scrubbing ni elfu 15 hiviUmesahau na kushinda saloon kila mwisho wa week ati wanafanya scrubbing...
Au urojoohivi kweli ule chips tena kavu na syrup ya tomato sauce ubebe gunia!! Thubutu!!!
Kuna dada yangu mtoto wa Baba mdogo alikuwa anajitwika DIABA la maji tena alikuwa binti tu kipindi hicho.
Tulimbatiza jina la "HAWAFU" kutokana na story ya kwenye kitabu cha kiswahili cha shule ya msingi.
Hawa, wanawake wa mjini wanashinda saluni na kukalia kuoshwa miguu na wanaume!
Sio wote wako hivyo, kuna wachache nimewashuhudia japokuwa ni wasomi wanapiga mzigo vizuri; Macho yangu nitayaelekeza huko.
Wapo pia wa mama wajasiriamali wanapiga mzigo kama huo mjini hapa, nenda Stereo sokoni Tandika, Kariakoo nk... Utawaona.