Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Hongera Mkuu, nikupongeze kwa ujenzi wa jamii.... pamoja nikusihi usijitose ktk mashimo usiyoyajua, hali siyo nzuri!!!Kiongozi, nimeona vingi huku na kilichonileta ni kukamilimisha taratibu za uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nilikotoka.
ndo hivyo, manake nsije kuharibikiwa buree!!
Pale ...pale kwenye utaamu ndo mtego umeekezwa !! one shoot one goal !!Kiongoziiiii
Yanavutia mno!
Nyama ya Dar hainogi mkuu sijui huwa inakaa sana kwenye Friji, no nafikiri
ni kwa sababu inawekwa madawa mengi hivyo inakuwa laini, baridi yaani kifupi
ukiipika inalegea mno haiwi ngumu kama zile za mikoani ambako ni Original
yaani inakuwa ngumungumu.
Tatizo wanawake wa dar body nzuri ila tatizo lipo kwenye injini hatari tupu wengine kama wanatembea na panya aliyeoza