Wanawake wa dar, wana viwango vyao vya pesa

Wanawake wa dar, wana viwango vyao vya pesa

Mkweli77

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,459
Reaction score
1,144
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin.

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later
Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??

→Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe

HUBBY AKE! MAMBO HAYOOOO...
 
huu uzi umerudiwa tena hapa!!!! si ulisha letwa huu
 
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin.

Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi

Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later
Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??

→Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe

HUBBY AKE! MAMBO HAYOOOO...

hicho kiwango cha hela unatoa kwa muda gani??kwa siku/wiki/mwezi/mwaka???
 
kama mapenzi ya dar ni kama menu za m pesa mbona mi menu yangu siiioni ...
 
Hebu acha umayala oeni bwana ninyi wakubwa sasa co mnaishia kuhonga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom