Tikisa wallet kidogo nawewe kabla hujafa

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa Jina
lako tu, Good morning Kelvin..Hallow Kelvin How is
your Day...Goodnite Kelvin.
Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa
unaitwa DEAR...Morning Dear..UmeamkajeDear..Dear Umekula??Usiku mwema Dear usisahau kuniamsha
Asubuhi Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000hapa
utakuwa unaitwa BABY...Baby Hows ur day..Baby
naumwa kweli leo...Baby naenda Mwenge see u later
Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa
HUBBY AKE...Utapendwawewe hadi ushaangae...Kila kitu Hubby Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna Mende chumbani njoo
tulale wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao
KUU,Hubby hivi utanioa lini?? Chagua jina
unalotaka...Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya
MPESA, Unajihukumu mwenyewe Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY
tu...Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom