Wanawake wa bongo ndio wanaokijua hiki.....

Yaani huyo wa kwanza kushoto kajikoboa mpaka anatisha. Rangi za uso na mikono tofauti kama ni Pepsi na Mirinda
 
Hapo suala sio kujikoboa bali ni ushambenga wa kuangalia kwa jicho la husuda mwanamke mwenzao
 
Wakati kati ni nani naweza mpigia 0712?
 
huyo wa kwanza kulia kama ndio kaja mjini juzijuzi vile hahahahah
 
Huyo wa kulia anatoa macho kama mdoli afu na huo wanja wa pika ka muuza mbege...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…