wanawake wa bongo na story za mabuzi!

wanawake wa bongo na story za mabuzi!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
wabongo bwana alietuloga sijui kafa
unakuta mmama ana duka zuri tu...kafunguliwa na buzi lake au mume wake au kachukua mkopo inshort kasuffer kulipata!
huyo saa mbili yupo dukani kwake mapema tu
ila akifika badala ahudumie wateja yeye na simu tu kupigia mashost zake simu ....story ni nani kamtongoza..nani kampiga mizinga ya bia...nani atamgegeda leo...yaani mteja akiingia pale hata simu haikatwi mtu anaendelea tu na umbea wake..wateja wanakuja na kuondoka yeye ni simu tu na chips zake na pepsi kwenye mkeka!
baada ya miezi duka linafungwa ataanza kusema mama mkwe au wifi yake kamloga!au majirani
tunakera!
 
Kweli mnakera hata humu ndani wapo wengi tu....

Muda si mrefu nimetoka kuwa soma kwenye sredi moja yenye title 'je kuna ubaya kumpenda mtu kwa sababu ya pesa zake?'
 
Most of people wanafanya biashara waonekane wanafanya biashara, but they dnt real mean it
 
Ndio maana kila siku tunarudi nyuma wanawake. We are too small minded. Hatuna upeo wa kuangalia mbele, tunaangalia jioni. ----!
 
Hili lipo hata kwenye baadhi ya Ofisi. Watu wameajiriwa lakini hawaheshimu ofisi......
Kuna umuhimu gani wa kuendelea na story zako zisizo na tija wakati mimi mteja niko mbele yako?
 
ni kweli aise....sasa wewe unasema dukani.....mtu yupo amekuja hosp...unamuliza maswali yeye ni kuchati mara apokee simu ya wanaume au wanawake.....mpka nasema sisi wabongo vipi hatuwezi kuconcetrate na mambo yetu tuna matatizo gani.....alafu simu charting 95 ni za mapenzi.....!!!! NAISHIA KUSEMA SISI WABONGO NI WASHAMBA SANA>..basi tu wengine tunajiona wajanja lakini hamna kitu....
 
Kweli mnakera hata humu ndani wapo wengi tu....

Muda si mrefu nimetoka kuwa soma kwenye sredi moja yenye title 'je kuna ubaya kumpenda mtu kwa sababu ya pesa zake?'
...ukiweka UMASKINI na USHAMBA wa maisha pamoja.....dada zetu wanakuwa kituko sana
 
ni kweli aise....sasa wewe unasema dukani.....mtu yupo amekuja hosp...unamuliza maswali yeye ni kuchati mara apokee simu ya wanaume au wanawake.....mpka nasema sisi wabongo vipi hatuwezi kuconcetrate na mambo yetu tuna matatizo gani.....alafu simu charting 95 ni za mapenzi.....!!!! NAISHIA KUSEMA SISI WABONGO NI WASHAMBA SANA>..basi tu wengine tunajiona wajanja lakini hamna kitu....

mshamba ana afadhli ni makurume kenge....
 
Hili lipo hata kwenye baadhi ya Ofisi. Watu wameajiriwa lakini hawaheshimu ofisi......
Kuna umuhimu gani wa kuendelea na story zako zisizo na tija wakati mimi mteja niko mbele yako?

usenge tu. Halafu kesho keshokutwa wanarudi mtaani kilio kinaanza. Wale madogo pale Tigo Customer care Mcity unaweza ukajikuta unawanasa vibao.
 
nauza! nauza! nauza.!!!... jiulize anauza nini ? matendo yake yatakuonyesha .......
 
Kweli mnakera hata humu ndani wapo wengi tu....

Muda si mrefu nimetoka kuwa soma kwenye sredi moja yenye title 'je kuna ubaya kumpenda mtu kwa sababu ya pesa zake?'

Hawafkrii kutafuta za kwao anataka eti ampende jamaa mwenye hela.
 
mie nasepa sikusubirii umalize maongezi yako naenda duka jingine
 
Back
Top Bottom