...ni kweli aise.....ila inabidi watanzania tubadili tabia zetu na mitazamo yetu kuhusu maisha.....tuna atitude mbaya sana....mm npo nafanya kazi ambapo nakutana na watu wengi hasa wenye kipato na midle class.....unachoona watanzania wengi wa hzio class ni...washamba, wajuaji, watu wa kujisifu na kujiona bila sababu ya msingi, watu wenye dharau, wajuaji, watu wenye kutaka maisha ya haraka haraka, na watu wa starehe zisizokuwa na fomular kwa study yangu ndogo ndo sifa za wabongo hizo....na mambo tunayojisifu nayo ni ngono , pombe...ndo maana unakuta mtu ana biashara lakini yupo bussy kuongea na simu za mambo ya ngono