Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.
Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja mbele, afu unarudi mbili nyuma.
Mwanaume mwenye malengo unatakiwa kuwaepuka hawa:
1. Mwanamke Mzuri Bila Akili
2. Mwanamke Anayependa Maisha Laini (Soft life)
3. Mwanamke Asiyekubali Uwe Mbali Nae
4. Mwanamke Anayetawala Wanaume
5. Mwanamke Anayelenga Kipato Chako
6. Mwanamke Aliyekufa Kiroho
7. Mwanamke Anayejivunia Muonekano Wake(Nyashi)
8. Mwanamke Mwenye Sumu ya haki sawa
Kaka, usibebe mzigo ambao maisha yako hayawezi kuubeba.