Ushauri wa bure kwa wanawake wanaokwenda na wakati

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,444
Reaction score
7,984
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu.

Wanaume sio mbwa ni sisi wenyewe ndio tumeshindwa kufanya uchunguzi. Tulishaambiwa kwenye kila mafanikio ya Mwanaume nyuma yake Kuna mwanamke

Na wewe unataka Mwanaume mwenye mafanikio unategemea nini? Huyo sio mumeo mtarajiwa huyo ni mume wa mtu Fulani Ni agharabu sana kukutana na Mwanaume anayejiweza akawa single, either uwe shareholder au unyanganye share ya mwanamke mwenzio kitu ambacho sio busara.

Mume wako yupo anahangaika kutoka kimaisha anapigania ndoto zake. Huenda yuko shule, shamba, dukani au anabeti kimsingi yupo anapigania kuchomoka Kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha mtafute huyo uanze nae chini.
 
kwenye kila mafanikio ya Mwanaume nyuma yake Kuna mwanamke!!!
Hivi hii kauli inamaanisha kuwa mwanamke huyo ni MKE au MAMA MZAZI wa mwanaume? Naomba ufafanuzi kwa mnaoielewa.

-ke ndo kiumbe mwenye uwezo wa kuigiza na katili zaidi, anachohitaji ni chanzo cha moto tu.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu.

Wanaume sio mbwa ni sisi wenyewe ndio tumeshindwa kufanya uchunguzi. Tulishaambiwa kwenye kila mafanikio ya Mwanaume nyuma yake Kuna mwanamke

Na wewe unataka Mwanaume mwenye mafanikio unategemea nini? Huyo sio mumeo mtarajiwa huyo ni mume wa mtu Fulani Ni agharabu sana kukutana na Mwanaume anayejiweza akawa single, either uwe shareholder au unyanganye share ya mwanamke mwenzio kitu ambacho sio busara.

Mume wako yupo anahangaika kutoka kimaisha anapigania ndoto zake. Huenda yuko shule, shamba, dukani au anabeti kimsingi yupo anapigania kuchomoka Kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha mtafute huyo uanze nae chini.
uzi umekaa poa sana unafaa kushonea hata jeans
 
ni mke mwenye akili timamu mkuu sio hawa vichenchede.

Mama, Baba kazi yake ilishakwisha kwenye malezi, licha ya malezi mama kwa upendo wake wa dhati kwako anaweza akaamua kukupa mtaji alafu ukalipata limwanamke lilafi lenye tamaa, lenyewe linataka kula bata tuu unadhani utatoboa??
 
Sijui Kama wadada wenzio wameuelewa huu ushauri wako murua. Wao wantaka wamkute mwanaume anamiliki gari tayari,jiulize Michelle alimkuta Obama na hali gani ndo utaelewa.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu.

Wanaume sio mbwa ni sisi wenyewe ndio tumeshindwa kufanya uchunguzi. Tulishaambiwa kwenye kila mafanikio ya Mwanaume nyuma yake Kuna mwanamke

Na wewe unataka Mwanaume mwenye mafanikio unategemea nini? Huyo sio mumeo mtarajiwa huyo ni mume wa mtu Fulani Ni agharabu sana kukutana na Mwanaume anayejiweza akawa single, either uwe shareholder au unyanganye share ya mwanamke mwenzio kitu ambacho sio busara.

Mume wako yupo anahangaika kutoka kimaisha anapigania ndoto zake. Huenda yuko shule, shamba, dukani au anabeti kimsingi yupo anapigania kuchomoka Kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha mtafute huyo uanze nae chini.
Wadada wa siki hizi wengi wao wanaamini mafanikio yao yapo ndani ya wallet ya mwanaume, sio siri ukiwa na hela unasahau hata kutongoza,yaani siku hizi kumpata mwenzi wa maisha imekuwa ngumu mno.
 
Wanawake msidanganywe, eti uanze sijui na mtu anabeti au anasoma, anadili anasikilizia, tafuteni wanaume wenye hela mle mema ya dunia...maisha ni mafupi mno 😁
 
Back
Top Bottom