Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

Hii picha inadhirihisha ni kwa nini hautakiwa kuwatuma haya ma-FFU katika vyuo. Kinachoonekana hapo ni usongo na chuki binafsi kutoka kwa hao mapolisi kwenda kwa huyo mwanafunzi wa chuo kikuu. Inawezekana kabisa hayo mapolisi yanafanya hivyo kwa sababu ya wivu - sioni sababu nyingine.

Mibaba tisa, yenye bunduki na silaha za kila aina. Kumkamata mtoto wa kike mmoja ambaye hata miaka 24 hajafika!
 
Yanaonekana huyo dada ni CDM, angekuwa ccmizi wasingemgusa. Wanamnyanyasa kwa madai kwamba wanatumiwa na wanasiasa kuleta machafuko ilhali wao wanadai haki za msingi za kila mtanzania fursa sawa ya elimu kwa wote.
Hayo ndiyo mafunzo waliyopewa.
Kama vile madaktari wetu wasivyoweza kushughulikia magonjwa ya watu muhimu 'vip', ni kwa sababu wamefunzwa kutoa tiba jua kali za vivi hivi ingawa vifaa na dawa wanazo au zinaweza kupatikana.
 
Kama BAKWATA hawataki kutoa tamko kama la Igunga kwasababu huyo dada
hajavaa HIJAB basi hata TAMWA watoe tamko basi.

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu!
 
Mwenye namba ya mama Ananilea Nkya tafadhali aiweke hewani tumjuze,sisiemu wana polisi sie tuna wanaharakati na wanasheria watetea haki za kinamama na wanawake wote
 
Haya majamaa yakipewa kazi huwa yaziacha akili zao nyumbani mpaka kazi iishe ndio wanazirudia. kweli wanapaswa kuchukuliwa hatua. Udhalilishaji huu wa dada zetu haukubaliki kamwe. Mungu tunusuru
 
Haya majamaa yakipewa kazi huwa yanaziacha akili zao nyumbani mpaka kazi iishe ndio yanazirudia. kweli wanapaswa kuchukuliwa hatua. Udhalilishaji huu wa dada zetu haukubaliki kamwe. Mungu tunusuru
 
View attachment 41149

Nimajuzi tu serikali ya Uingereza imesema wanawaweza kutunjima misaada kwa kuto heshimu haki za mashoga, kwa misingi ya haki za binadamu, lakini leo polisi wamedhiilisha ni kiasi gani hakuna haki za binadamu hapa nchi, polisi 9 wa kiume zidi ya mwanamke mmoja (udsm) mbaya zaidi huyo dada kashikwa shika kama mtu na mpenzi wake.
Hivi hatuna polisi wa kike kwenye matukio ya Ghasia? au nchi hii ukienda kinyume na matakwa ya watawala haki zako za binadamu zinapotea?
kabla ya haki za mashoga tuanze na ili watu wote hasa kina mama tuungane kupiga vita huu ujinga.

Indecent assaults on females Ord. 1954 No. 47 s. 3
1 3 5 . - ( 1) Any person who unlawfully and indecently assaults
any woman or girl is guilty of a felony, and is liable to imprison-
ment for fourteen years.
(2).......
(3) Whoever intending to insult the modesty of any woman
utters any word, makes any .sound, .or gesture, or exhibits an
object, intending that such word or sound shall be heard,, or, that
such gesture or object shall be seen by such woman, or intrudes
upon the privacy of such woman , is guilty of a misdemeanour and
is liable to imprisonment for one year.
Penal Code [CAP. 16 55
 
View attachment 41149

Nimajuzi tu serikali ya Uingereza imesema wanawaweza kutunjima misaada kwa kuto heshimu haki za mashoga, kwa misingi ya haki za binadamu, lakini leo polisi wamedhiilisha ni kiasi gani hakuna haki za binadamu hapa nchi, polisi 9 wa kiume zidi ya mwanamke mmoja (udsm) mbaya zaidi huyo dada kashikwa shika kama mtu na mpenzi wake.
Hivi hatuna polisi wa kike kwenye matukio ya Ghasia? au nchi hii ukienda kinyume na matakwa ya watawala haki zako za binadamu zinapotea?
kabla ya haki za mashoga tuanze na ili watu wote hasa kina mama tuungane kupiga vita huu ujinga.

Jamani!!! This is too much!!! Hivi wanashindwaje kuelewa kuwa huyu anaweza kuwa mtoto wao au hata mtoto wa ndugu yao?? Polisi acheni kunyanyasa Raia. Mnatakiwa kujua kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho. "ACHENI KUJIJENGEA CHUKI NA WANANCHI". Itakuja kuwafanya mjute wakati imeshakuwa too late!!!
 
Back
Top Bottom