Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

Unataka kupingana na maandiko ya mungu aliosema mwanamke/mwanaume ataacha wazazi na kuambatana na mwezi wake eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila bado kuna ka- tatizo ka kutoolewa wadada wengi miaka ya hv karbuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwenye zama hizo biblia imeonesha kulikuwa na masuria.
Siku hizi masuria hawapo. Ndio Hawa wasiolewa.
Yawezekana Kuna mtu alitakiwa kuwa mke wa mtu bahati mbaya jamaa kaoa aliyetakiwa kuwa suria hivyo mke kukosa mume

Huu ubaguzi upo Hadi kwenye biblia tunachoamini Ni kitabu Cha Mungu.
Na ukiona mwanamke ndoa imemshinda ujue hakufaa kuwa mke.
Alitakiwa awe anazaa watoto chini ya mwanamke mwingine.
Lakini mabadiliko yaliyoletwa yamesababisha wengine wateseke.

BTW hakuna kipindi wanawake waliwahi kuolewa wote. Hata wakati mtu mmoja anaweza kuwamiliki 10 Bado makahaba walikuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…