Hili naliwaza kila leo na Sipati majibuJamii inataka ME ndiye azoze, akizoza KE basi huwa hivyo huyu anaparamia kila anayemuona kumbe wala hana tabia hizo au ni mara yake ya kwanza.
So which is which? Pesa kwanza kuliko kufata hisia zako ama?Hili nalo neno pia![]()
![]()
Hilo la pesa sio sana ila mara nyingi huwa ni neno la kujifariji kutokana na kushindwa kueleza hisia zetu.So which is which? Pesa kwanza kuliko kufata hisia zako ama?
niliteleza tu tusameheane tuKwa nini uliamua vile lakinii???!!
Mbona hukuanguka uncleniliteleza tu tusameheane tu
wahenga walisema kuteleza sio kuangukaMbona hukuanguka uncle
Ukimpenda mwanaume mtongoze...hakiyanani mimi Mwanamke akinitongoze kila siku Asubuhi lazima nimpe angalau kilo na nitamuheshimu sana sana Aiseee coz nitamuona jasiri sana sana hataHahahaa umetisha sana
Sawa uncle... Nimekusamehe uncle wa miewahenga walisema kuteleza sio kuanguka
Kilo? Unatafuta mafuriko pm eeh?Ukimpenda mwanaume mtongoze...hakiyanani mimi Mwanamke akinitongoze kila siku Asubuhi lazima nimpe angalau kilo na nitamuheshimu sana sana Aiseee coz nitamuona jasiri sana sana hata
Mkishindwa kabisa basi andikenj hata barua, au tumeni washenga hamuoni India wenzenu wanatoa hadi mahari kabisaHilo la pesa sio sana ila mara nyingi huwa ni neno la kujifariji kutokana na kushindwa kueleza hisia zetu.
Ni hivi punde tu kimtazamohujaniambia lakini labda umesahau kuniambia....hivyo mimi nakukumbusha tuuu...Khantwe
Niuzamani huoKwa upandea wangu mwanamke akinifata na kunitongoza kabla hata sijamfata mm au kuonesha ishara ya kumuhitaji Automatically anakosa mvuto kwangu na ikatokea nikakubali hatuta dumu sana,
raha ya mpenzi umfate kiume umtongoze akusumbue sumbue kidogo akupe tumbo joto....siku akikubali huwezi mchukulia simple na utamjali sana, binafsi ndo nilivyo.
hata nilie nae kunisumbua kumpata ndo kumenifanya nizidi kumthamini kila siku.
"Real Men knows what/whom they want and how to get them"
Mie mke wangu alikuwa na haibu sana kwangu....yaani ni mwanamke mzuri na alikuwa mcheshi sana kwa wengine ila kila aliponiona sehemu ghafla alikuwa anaishiwa nguvu na kubaki kunitizama tu hata kunisalimu alikuwa anashindwa. Siku ya siku tukakutana hana kwa hana, nikamshika mkono na kumsalimu akabaki anatetemeka na kuangalia chini. Nikamwambia najuwa unanipenda nami nakupenda, ghafla akageuka na kunikumbatia. Toka siku ile mpaka leo ni miaka 13, tuko na watoto 3 na tabasamu alituishi kila tukikumbuka.
Kwa kuongezea tu, niliwahi kumuuliza mke wangu kwa nini alikuwa hapendi kunisalimu wakati nilikuwa ninamuheshimu na kumsalimu kama wanawake wengine, akanishangaza kwa kusema eti alikuwa anaogopa nitamchunia na kama angenitongoza mimi ningemuona yeye kuwa malaya na alishazoea mchezo wa kutongoza wanaume. Akanishangaza zaidi kwa kuniambia kuwa aliwakataa wanaume wawili kwani alihisi iko siku nitamuoa au kutoka naye na alishamuomba Mungu niende kumtongoza, kwa kweli niliumia sana alivyoniambia hivi. Samahani ila ilinibidi nilie kidogo lakini si mbele yake, nililenda chooni. Nilimuhurumia sana mke wangu kwa kuwa jasiri wa kukaa na maumivu ya kunipenda wakati mwenzake sikuwa na hili wala lile juu yake, wanawake jamani msijiumize mioyo, jitokezeni kutongoza wanaume. Kuna wanaume wengine hawajuwi kutongoza kwani kutongoza si kila mtu anajuwa.
Mkuu mbona unatoa siri mimi nipo hapa natafuta anayetongozekaNi hivi punde tu kimtazamo
Atatongozwa mmoja hapahapa kitendo bila kuchelewa