Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Hakuna mwenye ujasiri huo humu jf, ajitokeze aanze na mimi nione kama anaweza, tatizo wengi wanaogopa eti ataonekana malaya au atadhalilika hapana ni haki yake maana kama umalaya basi sisi wanaume ni malaya kupitiliza maana ndio huwa tunatongoza sana. UJASIRI SI MCHEZO, AIBU KAWAIDA
 
Shida sio umalaya shida inakuja kuwa mwanamke anafundishwa kupenda je akikufuta na kukutongoza utakuwa tayari kujifunza ili umpende?
 
Aisee. Sijui mie mgonjwa sijawahi fikia hiyo hatua ya kumtamani mwanaume hadi niwaze kumtongoza.

Mnataka kuja kumkashifu mwanamke sio bure. Nyie ndio mtuanze bana na sio sisi hata hainogi kwa sababu mwisho wa siku unaweza taka hadi nikupe hela ya matumizi kisa tu nimekutongoza.

Akaaaaaa.

kwani shida iko wapi kumpa mwanaume hela ya matumizi emmyta
 
Back
Top Bottom