Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] wanatuaibisha kwakwelii..Hivi hujawahi ona mabango humu ya kutaka kujua namna ya kutongoza...
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] wanatuaibisha kwakwelii..Hivi hujawahi ona mabango humu ya kutaka kujua namna ya kutongoza...
Kho kho khoYaani we acha tuu... Kuna mmoja namvizia humu sijui Naaanzaje
Mumewe jaman kwani humjuiHuyo ni nani auntie
Nikuletee mma eeehKho kho kho
Simjui ndio, kuna siku aliniwashia moto ati mie mwanaume!!!!Mumewe jaman kwani humjui
Sitaki mma mie jamanNikuletee mma eeeh
Ahahhahah usiniambie nimecheka aiseeSimjui ndio, kuna siku aliniwashia moto ati mie mwanaume!!!!
Unataka nini kivuruge wanguSitaki mma mie jaman
Ni kweli mwaya, ananikomalia kabisa kwa nini unatumia picha ya mwanamke... KhaaaAhahhahah usiniambie nimecheka aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona ulivyokuwa hiyo sikuNi kweli mwaya, ananikomalia kabisa kwa nini unatumia picha ya mwanamke... Khaaa
Mimi ataka heinken tu ya baridiiii [emoji4]Unataka nini kivuruge wangu
YeeeduuuuMimi ataka heinken tu ya baridiiii [emoji4]