Sawa....hata mimi nikiwa sina kitu hata sikupendi wala sikumbuki kma upo...ila zinapokuwepo mfukoni ndo huwa nakuwaza sana sana Aiseeee mpaka natamani ungekuwa karibu...Nakupenda sana hebu thibitisha muamala nizidi kukupenda
Sawa....hata mimi nikiwa sina kitu hata sikupendi wala sikumbuki kma upo...ila zinapokuwepo mfukoni ndo huwa nakuwaza sana sana Aiseeee mpaka natamani ungekuwa karibu...Nakupenda sana hebu thibitisha muamala nizidi kukupenda



Wewe ulishafukuzwa JF acha kuzurura huku wewe!!Nampongeza kwa ujasiri huo
Haya fanya mambo basiSawa....hata mimi nikiwa sina kitu hata sikupendi wala sikumbuki kma upo...ila zinapokuwepo mfukoni ndo huwa nakuwaza sana sana Aiseeee mpaka natamani ungekuwa karibu...
Ntaondoka kesho ndo namalizia kufunga makabrasha yangu hapaWewe ulishafukuzwa JF acha kuzurura huku wewe!!
ila naomba ufanye diet upunguze chura....mi sio mwanachama sana wa chura....Haya fanya mambo basi
Hilo linawashinda hadi wanaume ujue!! Lakinii sio huofia kuonekana mhuni fulani hivi, sijui kwa nini jamii imejiaminisha hivyo!!
Hahahaaa. Pana nini tena mkuu.nimekuelewa vizuri ila hapo kwenye hela hapo duuh,,
Sikumtokea kama kawaida halafu....just the usual 'there's this new eatery place itakua poa tukienda nikajaribu vyakula vya kabila lenu maana sio kwa stori hizo ninazosikia'....n she was like ''Kabila letu unalijua wewe....besides vi-eatery vya kizungu huwez pata mambo ya kwetu''.![]()
![]()
jamani jamani kama nakuona ulivyokuwa unabaki umeduwaa pole sana sasa ulianzaje kumuingia?
Hahahaa umetisha sanaSikumtokea kama kawaida halafu....just the usual 'there's this new eatery place itakua poa tukienda nikajaribu vyakula vya kabila lenu maana sio kwa stori hizo ninazosikia'....n she was like ''Kabila letu unalijua wewe....besides vi-eatery vya kizungu huwez pata mambo ya kwetu''.
Me:''ooh basi mi nakulaga hata ice cream za kuchemsha,ila tu nikiwa na mschana mrembo mrembo hiv ndio zinakua tamu so lini twaenda!?''
Then i saw her beautiful smile,safari moja ikaanzisha ingine. nikaanza tu kumtania how on earth she could bed 'a monster' anaemchukia na kumuogopa kama mimi!?
She was young n naive.....and sooo sexy!
pana vishawishi sanaHahahaaa. Pana nini tena mkuu.
Hahahaaa. Nimekuelewa sasa mkuu.pana vishawishi sana
Kweli kabisa mkuuTatizo ikitokea mwanaume katongozwa na mwanamke hawez kataa mana ataona kapata pa kujipigia bure,huku in reality hajatongozeka bado.
Hili nalo neno piaHakuna cha kuogopa kuonekana muhuni, tatizo wanaogopa watakosa nafasi ya kupiga vizinga,,
