zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,620
- 1,344
Sasa mbona hauniambii mpaka Leo.Mimi nikimpenda mtu aisee hawezi hata kujua ninavyojitia ukauzu mbele yake
Sasa mbona hauniambii mpaka Leo.Mimi nikimpenda mtu aisee hawezi hata kujua ninavyojitia ukauzu mbele yake
Kwanini?Niuzamani huo
Yaani we acha tuu... Kuna mmoja namvizia humu sijui Naaanzaje

ndio maana ikaachwa iwe kwa mwanaume awe msemaji mkuu, Aisee...KUNA SIKU NILIAGIZWA NA MDINGI KUPELEKA KITABU NYUMBA YA MBALI KIDOGO. BAS NIKAMKUTA BINTI MNONO AKAWA ANAJICHEKESHA CHEKESHA, AKANIKARIBISHA SEBULENI, ALIKUWEPO YEY NA MDOGO WAKE, WAZAZ WAKE WALIKUWA HAWAJARUDI KAZN
BS KILA MARA ANANITIZAMA, IKANIBID NIMKONYEZE AKAWA ANAJICHEKEACHEKEA TU, AH.. NIKAJUA HUYU MPWEKE. NKAMWACHIA NAMBA, ILE NATOKA NJE YA GETI TU KANITEXT KARIBU TENA.
FRM THERE CHATS ZKAPAMBA MOTO, NIKAMTONGOZA HAKUNISUMBUA, KESHO YAKE AKANIPA MAMBO. KUANZIA HAPO NIKAWA NAJITAFUNIA TU.
KUMSUBIRI MWANAMKE AKUTONGOZE NI SAWA NA KUSUBIRI EMBE CHN YA MNAZI.
Mmmmhndio maana ikaachwa iwe kwa mwanaume awe msemaji mkuu,
inabidi kuwa na ujasiri kufungukaa...
Familia nyingi za kawaida zina hudumiwa na akina mamaHahahah kweli vyuma vimekaza yaan wanaume nanyi mnataka tuwatongoze? bado tu kusema tuwahudumie.
ndio, wewe ujasiri huo unao ss..?Mmmmh
Ujasiri huo sinaga ujue!!!! Ila ilikuwa changamsha gengendio, wewe ujasiri huo unao ss..?
Huu ndio ukweli hata kama mchungu....familia nyingi hasa hizi za akina sie zinakula kwa akili ya mamaFamilia nyingi za kawaida zina hudumiwa na akina mama
dah.!!.
mkuu mpaka nimekuonea wivu yani...
ebwana jamaa hyo 'Movie' yako na mkeo jinsi mlivyoakutana na kujuana mpaka mlipofikia nimeipenda mno.
mnastahili pongezi.
Mungu azid ijaalia familia yenu furaha na amani
Mie mke wangu alikuwa na haibu sana kwangu....yaani ni mwanamke mzuri na alikuwa mcheshi sana kwa wengine ila kila aliponiona sehemu ghafla alikuwa anaishiwa nguvu na kubaki kunitizama tu hata kunisalimu alikuwa anashindwa. Siku ya siku tukakutana hana kwa hana, nikamshika mkono na kumsalimu akabaki anatetemeka na kuangalia chini. Nikamwambia najuwa unanipenda nami nakupenda, ghafla akageuka na kunikumbatia. Toka siku ile mpaka leo ni miaka 13, tuko na watoto 3 na tabasamu alituishi kila tukikumbuka.
Eeeh! Ndo hivyo Mukulu!!! Hatari sana.Hahahaaa. Nimekuelewa sasa mkuu.
Except meWengi mkitongozwa mnaringa na kuanza kusema sisi Malaya akati ni hisia