Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Safi sana hii


Kwa kuongezea tu, niliwahi kumuuliza mke wangu kwa nini alikuwa hapendi kunisalimu wakati nilikuwa ninamuheshimu na kumsalimu kama wanawake wengine, akanishangaza kwa kusema eti alikuwa anaogopa nitamchunia na kama angenitongoza mimi ningemuona yeye kuwa malaya na alishazoea mchezo wa kutongoza wanaume. Akanishangaza zaidi kwa kuniambia kuwa aliwakataa wanaume wawili kwani alihisi iko siku nitamuoa au kutoka naye na alishamuomba Mungu niende kumtongoza, kwa kweli niliumia sana alivyoniambia hivi. Samahani ila ilinibidi nilie kidogo lakini si mbele yake, nililenda chooni. Nilimuhurumia sana mke wangu kwa kuwa jasiri wa kukaa na maumivu ya kunipenda wakati mwenzake sikuwa na hili wala lile juu yake, wanawake jamani msijiumize mioyo, jitokezeni kutongoza wanaume. Kuna wanaume wengine hawajuwi kutongoza kwani kutongoza si kila mtu anajuwa.
 
Ilikuwa bahati yake nae mkeo bwana lol I doesn't work with everyone aisee siwezi kabisa wacha nibaki na maumivu yangu


Uyasemayo ni kweli kabisa, ilikuwa ni bahati yake hata na yangu pia. Ila hata wewe kama kuna mwanamme unamfeel, tafadhali usihofu kujitoa mhanga, muwinde tu ila usiwe na rafiki yako kwani anaweza kukusaliti kwa kutotaka wewe upate kabla yake. Mwanamme LAZIMA atakukubalia tu, na hata kama ana mahusiano na mwanamke mwingine atakuambia. You people (wanawake) mnatuhisi vibaya tu, si kila mwanamme ni mbongo fleva (hajitambui), tuko poa sana.
 
Hahahaa haya tutajaribu mkuu
 
Mm sipendi kutongoza(domozege) na pia sipendi kutongozwa kabisa. Huwa na pambana na hali yangu nikiwa na 3Mzuka.
 


Pengine ni kweli una matatizo ya kiakili.....mwanamke usihofu kumtongoza mwanamme....jitoe muhanga tu, utakubaliwa.
 


Hii kali mkuu.....mpende mkeo na Mungu atawazidishia neema tu.
 

nimekuelewa vizuri ila hapo kwenye hela hapo duuh,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…