Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Uzuri mie sinaga maneno mengi.. Sijui aliwaza nini kumbe ni mjomba buanakama nakuona ulivyokuwa hiyo siku
Uzuri mie sinaga maneno mengi.. Sijui aliwaza nini kumbe ni mjomba buanakama nakuona ulivyokuwa hiyo siku
Uzuri mie sinaga maneno mengi.. Sijui aliwaza nini kumbe ni mjomba buana





eti we kidume unatumia avatar ya kike nimechekaHebu cheka tuu, niliishiwa pozi ujue... Alikomaa kweeli ujueeti we kidume unatumia avatar ya kike nimecheka
Wengine wakikuangalia tu machoni tayar kakupa signalukijua maana ya neno kutongoza utagundua kuwa wanawake wanaongoza kwa kutongoza tena wao wanaanza wewe unaenda kumalizia
I know your type.kuna mtu alikua ananichukia hatari yaani,ananionyesha dharau za kitoto wazi wazi mbele za watuMimi nikimpenda mtu aisee hawezi hata kujua ninavyojitia ukauzu mbele yake
I know your type.kuna mtu alikua ananichukia hatari yaani,ananionyesha dharau za kitoto wazi wazi mbele za watu
Basi siku naingia dukani kumbe dukani kwao...nikapata mahitaji na kumtania kidogo.....weeeee..hakuwahi kurudi kamwe toka hapo!
Kabaki tu kusema ''ila baba Etha nilikuaga nakupendaaaaaa hadi nakuchukia.ulikua unaringa sana!"
ila mimi huwa sionyeshi kumchukia basi tu najifanya sina habari nae na hata nikimuona namsalimia kawaida tu yaani hawezi kujua kabisa. Ila huyo wa kwako alizidiwe.....yaani anaweza nitazama jicho hilooo.sasa najiuliza huyu binti hata sina mazoea nae inakuaje ananifanyia hivi!?![]()
![]()
ila mimi huwa sionyeshi kumchukia basi tu najifanya sina habari nae na hata nikimuona namsalimia kawaida tu yaani hawezi kujua kabisa. Ila huyo wa kwako alizidi
we.....yaani anaweza nitazama jicho hilooo.sasa najiuliza huyu binti hata sina mazoea nae inakuaje ananifanyia hivi!?
halafu maskini siku hiyo dukan kwao natoa pesa hivi nilikua na vi dola kwa bahati mbaya nikavitoa kwenye koti badala ya shilingi niliopanga kuto weeee.....eti nimeenda kmringishia..nilikoma!
Ila mwisho wa siku nikasema huyu lazima 'adabu' imuingie...katuliaaa saivi
jamani jamani kama nakuona ulivyokuwa unabaki umeduwaa pole sana sasa ulianzaje kumuingia?Nampongeza kwa ujasiri huoMbona me mpenzi wangu alinitongoza tena kupitia cm baada ya kunihoji kama nina mpenz au mke nikamwambia sina then kafunguka anaomba niwe mpenz wake me nikasema "Ok"
Nikampa appointment na kwenda kupima HIV. Mpaka Leo nikonae tena nampenda sana na wife wangu mda si mrefu.
Mi siku zote huwa nawaambia wanawake uhuni haujifichi. Ni sawa unamtongoza mwanamke anajifanya kuanza kukataa au kukuzungusha. Hilo haliwezi niaminisha we si mhuni bali mwenendo wako tutakapokuwa kwenye mahusiano. Vivyo hivyo mwanamke kumwambia mwanaume unampenda siyo kwamba utaonekana muhuni ila mpaka pale utakapokuja kuta una mpenzi mwingine wakati muko wote. Kwahiyo uhuni unaonekana haujifichi hata kama ulijifanya mgumu na ukakubali baada ya mwaka 1.Hilo linawashinda hadi wanaume ujue!! Lakinii sio huofia kuonekana mhuni fulani hivi, sijui kwa nini jamii imejiaminisha hivyo!!
Mkuu unajitoa tu ufahamu then unazama kichwa kichwa !!!!Nampongeza kwa ujasiri huo
Sasa hao Mr. Perfect mnawapataje. Ni kawaida kusikia msichana anasema sijapata chaguo langu wakati mnasema hamuwezi kutongoza. Mi hapa naona wanaume ndo huwa tunapenda ninyi huwa mnafuata tu.Aisee. Sijui mie mgonjwa sijawahi fikia hiyo hatua ya kumtamani mwanaume hadi niwaze kumtongoza.
Mnataka kuja kumkashifu mwanamke sio bure. Nyie ndio mtuanze bana na sio sisi hata hainogi kwa sababu mwisho wa siku unaweza taka hadi nikupe hela ya matumizi kisa tu nimekutongoza.
Akaaaaaa.
Kwani taabu iko wapi. Mbona hata sisi wanaume hayo maneno huwa tunaambiwa!Kweli kabisa pia ni ile hali ya kutaka kumfanya mwanamke awe mnyonge kwa sababu hata kakitokea ka ugomvi atakuwa na sababu kibao zikiwemo we si ndio ulinitongoza kwani nilikuwa nakutaka mie na nyingine nyingi.
Mkuu mimi siwezi bwana nawaachia wenye vipaji vyao. Shida nyingine mwanamke ukitongoza mwanaume asikupende wala hata hakatai...atajifanya anakupenda mradi ale tu mzigo atokomee. Na kama akikukataa basi kila mtu kwenye network yenu atajua kwamba ulitongozwa umekataliwaMkuu unajitoa tu ufahamu then unazama kichwa kichwa !!!!
Ukipenda we tongoza tu usisubili mpaka utongozwe.
Unapenda kutongozwa na wanawake inaelekea!!! Sioti kuja mtongoza me km una kizuri cha kusifiwa ntakusifia lkn haimaanishi kwamba ndo umetakwa kimapenzi
Duh! Ila kweli wanaume tunatofautiana tabia na mtazamo lakini kwa sisi tulio starabika naona kawaida tu Kwa kuwa hata ww ni binadamu unapenda.Mkuu mimi siwezi bwana nawaachia wenye vipaji vyao. Shida nyingine mwanamke ukitongoza mwanaume asikupende wala hata hakatai...atajifanya anakupenda mradi ale tu mzigo atokomee. Na kama akikukataa basi kila mtu kwenye network yenu atajua kwamba ulitongozwa umekataliwa