Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

Old trafford dakika 90 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Suala la mwanamke kutokojoa sijawahi kuelewa ni kwanini tatizo lionekane ni la mwanaume. Climax ya sex ni kumwaga. Mwanaume kamwaga, mwanamke hajamwaga, sasa hilo ni tatizo la nani?

Wanawake ndio wa kupewa elimu kuhusu maumbile yao na kuuziwa dawa za kuongeza nguvu za kike, kwa sababu wao ndio wenye tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…