Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Mchane live tuu huyo rafiki mwizi kua sio fresh,we utakua umetua mzigo.
Afahamu kabisa umemjua tabia yake chafu,abaki na mzigo wake ababaike nao mwenyewe.
 
kwa kweli ni ngumu upendo kuwepo
Ndiyo hivyo mpedwaa huwa na tamani niwe na marafiki wa kiume yani si waupenzi Urafiki tu wakawaida mawazo na nn lkn tukianza Urafiki mwishowe wananitongoza kwahiyo inaniwia ugumuuu ndiyo maana napenda kuwa peke yangu mda mwingiii


Cc:RRONDO
 
mwa

naume hakatai papuchi mammy,,zote anakula isipokua ya mama na dada tuu,,wengine we used to ****
hata hizo za mama na dada wanakula tu wanaume sio watu kasoro baba zetu tu
 
Mtafute Mwanamme muhusika (mume wa rafiki yako).
Ongea naye bila kumuhukumu na mweleze hutafikisha habari kwa mkewe. ...Bila hasira....

Mwambie unajua anachokifanya na anakifanya na nani .

Mwambie aache mara moja.

Wewe endelea na urafiki wenu ila usiache kudadisi kama wameachana kweli.

Wala usije kumkanya rafiki yako. ..maana umejipatia habari kwa kupekua simu yake bila ridhaa...
 
Mimi ningekuwa a good friend, ningewaita wote ningemwambia ukweli palepale mbele yake
 
Hii story nimekutana nayo sehemu ingekuwa wewe ungeweza kumwambia rafiki yako?

Jaman mm nina rafiki zangu tupo wa3 uwa tunashirikishana mambo yetu ya kimaisha ushauri na kadhalika.

mwaka jana mmoja wetu akaolewa japo ndio tupo wote lakini majukumu yameongezeka na sasa ni mjamzito sasa akawa anakuja kwetu kama marafiki analalamika mme wake anamchepuko yaaan hadi amebadilika.

mishauri mingi akapata pale sasa mimi juzi nimeenda kwa huyu rafiki yangu mwingine alilazwa nikakaa nae na nikawa na simu yake muda mwingi nilichokuja kugundua ni kuwa yeye ndo anatoka na shemela wetu.

na homa ile alikuwa ametoa mimba[emoji87]sasa apa nawaza nimwambie mwenye mume au niuchune na wote ni shost zangu wa damu.

me kama shunie jamaan tusiruhusu rafiki zetu wajenge urafiki wa ukaribu sana na mume au mwanaume wako, rafiki ni rafiki yako wewe sio wa mume wako
mume ana mipaka yake.
Mkanye huyo rafikio alie lazwa.. kwamba kitendo nacho fanya sio kizuri hata kidogo ..
 
Hiki kikao kimesababisha mpaka wanaume tumekwenda kula mahotelini, manake wanawake hata muda wa kupika mmekosa
 
sio kwa mume bana
Who is really a 'mume'? Ni jamaa tu kama majamaa mengine... Ungeyaona huko baa yanavyoshea utamu wako na mabaamedi na dau wanalolipa usingemaindi hata kidogo shostee wako wa damu nae akaonja msisimko. Just for the love... Afu kuna leo na kesho, heri faida isiende mbali siku ijapofika.
 
Nyie wanawake sometimes ni hewa....mi nishawahi kumla mtu na dada yake wa kuzaliwa katika series yao. Sijui ni tamaa au ni nini?
 
Ntaanzia wap kwa mfano? Sitakaji ujinga na marafiki
 
Back
Top Bottom