Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Mimi huwa nashangaa sana kwanini kuna baadhi ya wanawake hawakui!!? Bora uibiwe mume na mtu wa mbali lakini si hao mnaowaita "rafiki"
Ukuaji wa Binadamu umegawanyika katika kila stage na matukio / matendo yake katika maisha, ulipokua mtoto mdogo ulikua ukicheza na yeyote awe mvulana au awe msichana lakini ulipobalehe ukajitenga mbali na wavulana na kuanzisha urafiki zaidi na wasichana wenzio
Vivyo hivyo kila ulipoongeza ngazi ya elimu, Binadamu hujitenga na wale aliowazidi mfano ulipokwenda sec. Rafiki zako walioishia primary uliwaacha kando na kuanzisha urafiki na wale walio level sawa na wewe
Sasa kinashindikana nini binti uliolewa kuachana kabisa urafiki na wale rafiki zako wasio na ndoa, maana walio wengi wana tabia za wivu na chuki na ndio wavurugaji wakubwa!!
Women tukue sasa, unayeibiwa mume na rafiki yako umependa mwenyewe, nathubutu kusema umeyataka
 
na marafiki wasioolewa hawana ushauri mzuri kabisa unaweza kidogo mkakorofishana na Mr anakwambia achana nae mtu hajui uchungu wa mume
 
Duuuu mimi pia iliwahi kunitokea sema nilishtukia mchezo kabla hamawajaanza ule mchezo ndiyo wslikuwa kwenye harakatiiii mwanaume nikampiga kibutiii..... Mwanamke hadi Leo hatuongei

Natokea halo sina rafiki hata mmojaaa muda mwingi napenda niwe peke yangu sina kazi za kufanya nitaingia kitsndani nitalalaa....... Ila urafiki na mwanamkee mm haitokaa ijirudiee daimaaa[emoji119]
 
Jovitha kumbuka "ukisusaa wenzio wala"
 
Duuuu mimi pia iliwahi kunitokea sema nilishtukia mchezo kabla hamawajaanza ule mchezo ndiyo wslikuwa kwenye harakatiiii mwanaume nikampiga kibutiii..... Mwanamke hadi Leo hatuongei

Natokea halo sina rafiki hata mmojaaa muda mwingi napenda niwe peke yangu sina kazi za kufanya nitaingia kitsndani nitalalaa....... Ila urafiki na mwanamkee mm haitokaa ijirudiee daimaaa[emoji119]
Pole sana
 
IMG-20170513-WA0002.jpg
 
Kizuri kula na nduguyo, roho mbaya zingine hazina tija ujue...
😵
 
na marafiki wasioolewa hawana ushauri mzuri kabisa unaweza kidogo mkakorofishana na Mr anakwambia achana nae mtu hajui uchungu wa mume
Hata bible imeelezea tajiri hawezi sikiliza ushauri wa masikini. Hivi wewe una ndoa ambayo wewe ndie unajua vile umeipata et leo utarajie kupata ushauri mzuri kwa mtu ambae ameshindwa hata kuipata hiyo ndoa! Kweli uko serious???
 
ukijijua upo kwenye ndoa hata kama una rafiki zako hawajaolewa hawatakiwi kabisa kujua unaishi vipi na mume wako watu wanakosea sana
 
usimlipizie hivyo we mwache tu Mungu atakulipia kwa ubaya aliokufanyia mshtakie Mungu tu
Miezi sita sasa imepita mungu angeshamuadhibuuuu
Ila kweli kunashogaake alinambiagaa alifumaniwa na bwanaake mkurya alichezeaa kipigo siyo cha nchi hii
 
Busara zako ni kubwa mnoo mpaka nashindwa cha kuongea, M/Mungu akujaalie kheri na barka
 
Miezi sita sasa imepita mungu angeshamuadhibuuuu
Ila kweli kunashogaake alinambiagaa alifumaniwa na bwanaake mkurya alichezeaa kipigo siyo cha nchi hii
Mungu huwa halipi hapo kwa hapo inaweza ikapita hata miaka dear machozi yako hayawezi kwenda bure ipo siku yake tu
 
Back
Top Bottom