Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Kwenye ule wimbo wa Shetta unaitwa sijui "namjua" kuna mstari mmoja aliimba point sana, anasema "marafiki nyoka"
 
Ucje ukamwambia mwenye mume utaharibu ndoa inawezekana mume anampenda xna mke wake sema tu amekosa ubunifu
 
limume ndiyo lijinga lisilo mthamini mkewe! Imbecile la hali ya juu!
 
Huyo dada unaweza kuta kila jambo analofanya hubby wake alikua akihidhia kwa rafiki zake bila kujua alikua anaiua ndoa yake yeye mwenyewe.... Binafsi sipendi huo ushosti wala siupendi mazoea yawe ya kawaida tu lkn ushoga sijui wa kupika na kupakua kwangu hapana
 
Naomba kufa na tai shingoni usimwambie mhusika. Kimsingi, mweleze wazi huyo mwz aka mama muuaji wa marehemu aache hyo tabia. Mpge mkulwa mzto sn kadrii uwezavyo. Huyo c rafk hata kdogo nawe kaa nae chonjo hafai. Nmesktika sn.
 
anaimbaga yule mgumu fid q..sihitaji marafiki naye aliona mbali sana .unakula nao happy kesho wanamtaka mmeo
 
Huyo dada unaweza kuta kila jambo analofanya hubby wake alikua akihidhia kwa rafiki zake bila kujua alikua anaiua ndoa yake yeye mwenyewe.... Binafsi sipendi huo ushosti wala siupendi mazoea yawe ya kawaida tu lkn ushoga sijui wa kupika na kupakua kwangu hapana
itakua hivyo
 
Duuuu mimi pia iliwahi kunitokea sema nilishtukia mchezo kabla hamawajaanza ule mchezo ndiyo wslikuwa kwenye harakatiiii mwanaume nikampiga kibutiii..... Mwanamke hadi Leo hatuongei

Natokea halo sina rafiki hata mmojaaa muda mwingi napenda niwe peke yangu sina kazi za kufanya nitaingia kitsndani nitalalaa....... Ila urafiki na mwanamkee mm haitokaa ijirudiee daimaaa[emoji119]
ni kweli pia wanawake hampendani wenyewe kwa wenyewe?
 
Back
Top Bottom