Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Kiukweli kabisa mchezo huo ni mbaya sana japo umekuwa ukipuuzwa sana na wanawake wasiotarajia kuzaa, huona kama halali yao kwani wanajua balaa kubwa ni kwenye kuzaa. Licha ya athari hiyo ndogo lakini uzoefu unaonyesha kuwa mwanamke akizoea mchezo basi mbele anaona kama hakufai, hii ni athari ya kisaikolojia tayari.
Pili kwa wanaume ni hatari kulingana na udogo wa eneo lenyewe na kukosa ute wa kulainisha hivyo hupelekea kondom kupasuka haraka kuliko mbele, hivyo kuongeza hatari ya maambukizi na afya kwa ujumla kwani kukojolea sehemu ile kupelekea chembe chembe ndogo za kinyesi kuweza kupenya na baadae kuweza kuziba mrija wa dhakari. Hii inaweza kuipinga kwa kuwa wewe unaweza ukafanya mara moja lakini ukizoea hatari hii inakusubiri.
Tatu ni dhambi ambayo inamuudhi Muumba wetu kupindukia, hebu tujiulize kwa nini Mungu aliweka pua, jicho na mdomo kukaa karibu? Mungu hufanya mambo yake kikamilifu na ni imani yangu hakuna hata siku moja mtu alishawahi kulaumu kwa nini Mungu hakumuwekea jicho lake kisogoni badala ya lilipo sasa. Mungu ametuumbia uke jamani ukifanya kwa kufuata sheria ni mtamu kuliko hata hiyo kitu uchafu.
Nawasihi sana wanawake wasimkosee Muumba wao kwa vijizadi vidogo vidogo.
Mwisho Itamfaa nini mtu akiupata ulimwengu kisha kiwiliwili chake kikatupwa katika moto wa Jahanam?
kwa hiyo ulikufa ? au ulifufuka tena?Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Umewahi kujaribu kushawishiwa kuingiliwa kinyume na maumbile kwa ahadi ya kupewa gari na ukakataa?Maana wanawake wenzio unaowaambia wanaota kupata hayo magari kwa gharama yoyote.
lolz kumbe weye shori?Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
Boflo kwanza hongera kwa ujasiri. Kwa vile ulitakiwa uchague moja ama wakuue au wakufanyie huo mchezo na wewe aliamua bora wakuue!.Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
inawezekana akawa SEMENYA maana hatumuelewi.Hivi boflo ni mwanamke? Samahani nauliza tu...
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa