Wanawake tuupinge huu mchezo!!

Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa
Stori yako ni nzuri sana,sasa ikawaje baada ya kuchagua kuuliwa maana naona upo?Au ulibadili uamuzi?
 
mtu chake na vile akitumiavyo bana ....akitaka gari kimteremko wacha apewe,,,, kwani si ana akili timamu anajua akifanyacho....
 
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.

Siku zote nlikuwa najua Boflo ni dume.

JF zaidi ya niijuavyo!:clap2:
 
Siku hizi naona huu mchezo
Wa kuingiliwa kwa wanawake wa ki tz kinyume na maumbile unaota mizizi kwa kasi ya ajabu.Jamani huu mchezo una madhara makubwa sana, na kubwa zaidi ni kudhalilishwa utu wako.Wito kwa wanawake tuache tamaa na tusikubali hata kupewa gari ili tukubali kufanyiwa huu mchezo.
Du!! Ngoja nirudi zangu chumba cha wageni kukaribisha wageni!
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa

Na mpaka leo uko hai!!!
 
Kiukweli kabisa mchezo huo ni mbaya sana japo umekuwa ukipuuzwa sana na wanawake wasiotarajia kuzaa, huona kama halali yao kwani wanajua balaa kubwa ni kwenye kuzaa. Licha ya athari hiyo ndogo lakini uzoefu unaonyesha kuwa mwanamke akizoea mchezo basi mbele anaona kama hakufai, hii ni athari ya kisaikolojia tayari.
Pili kwa wanaume ni hatari kulingana na udogo wa eneo lenyewe na kukosa ute wa kulainisha hivyo hupelekea kondom kupasuka haraka kuliko mbele, hivyo kuongeza hatari ya maambukizi na afya kwa ujumla kwani kukojolea sehemu ile kupelekea chembe chembe ndogo za kinyesi kuweza kupenya na baadae kuweza kuziba mrija wa dhakari. Hii inaweza kuipinga kwa kuwa wewe unaweza ukafanya mara moja lakini ukizoea hatari hii inakusubiri.
Tatu ni dhambi ambayo inamuudhi Muumba wetu kupindukia, hebu tujiulize kwa nini Mungu aliweka pua, jicho na mdomo kukaa karibu? Mungu hufanya mambo yake kikamilifu na ni imani yangu hakuna hata siku moja mtu alishawahi kulaumu kwa nini Mungu hakumuwekea jicho lake kisogoni badala ya lilipo sasa. Mungu ametuumbia uke jamani ukifanya kwa kufuata sheria ni mtamu kuliko hata hiyo kitu uchafu.
Nawasihi sana wanawake wasimkosee Muumba wao kwa vijizadi vidogo vidogo.
Mwisho Itamfaa nini mtu akiupata ulimwengu kisha kiwiliwili chake kikatupwa katika moto wa Jahanam?
 
Mimi ni dume lakini nimeamua kutetea haki zao kwa sababu wanawake ndio mama zetu,
Kuhusu ushahidi, ninao mwiingi sana kwa sababu hata mimi nimewahi kuahidiwa nitapewa huu mchezo endapo
Nitawatekelezea matakwa yao

Unajuaje kama wao hawapendi utamaduni huo???? hahhahaaaaaaaaaaaaaaaaa Samaki kaka aliwa pande zote hahhahaaaaaa
 
Imenilazimu leo kuchangia katika jukwaa hili; kwanza nimecheka sana juu ya options alizopewa BOFLO na majambazi, kwa kuwa majambazi walisema CHAGUA MOJA.....kwa hiyo kwa yeye kuwa HAI inawezekana alichagua option iliyomfanya kuwa HAI.

Kuhusu mada husika; wakati fulani nikiwa bado DUNIA inanitawala niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja, ghafla nilianza kuona uhusiano wetu unayumba. Nilijaribu kumhoji kulikoni, alijaribu kuwa muwazi kwangu kwa kuniambia eti mapenzi yanahitaji viji-utundu; kwa hiyo inatakiwa niongeze ujuzi. Nilisikitika sana kwa vile nijuavyo kujituma katika suala hilo, niliamua kumpa kibuti siku hiyo hiyo. Muda ulipita, siku moja nikamsimulia kisa hicho rafiki yangu mmoja wa kike, alicheka sana halafu akaniambia unajua alikuwa anataka nini? nikamwambia sijui, alicheka saaaanaaaa, halafu akanipa jibu kwamba alikuwa anataka "HUO MCHEZO WA NYUMA HUYO". Kwa jibu lake nilifunguka kwani kuna nyakati kulikuwa na dalili hizo.

Hivyo basi kuna uwezekano mkubwa nyakati za sasa wanawake wengi wanaendekeza hii tabia chafu.
 
Gari ni kitu kidogo sana, kuna siku
nilivamiwa na majambazi usiku wa manane, wakaniambia nichague kimoja ama waniue au wanifanye huo mchezo, mimi kwa ujasiri mkubwa sana nilichagua kuuliwa

hivi we ni she au he? mbona unatuchanganyana sana.
Halafu hao majambazi walipokuvamia ukachagua kuuliwa which obvious hukufa, it means walikulamba. sasa umekuwa addictive na umeyaona madhara yake kwa wanaume kama weqwe ndo maana unatoa ushauri kwa wanawake?
yani umenifanya nicheke kama chizi boflo.
 
Nakumbuka marehemu Dr. Remmy miaka ya nyuma aliimba wimbo unaosema MBELE KWA MBELE........................... Usirudi nyuma...nyuma ni mwiko.........nyuma kuchafu..........!! Bahati mbaya sana watu hawakumuelewa wakati ule kama ilivyokuwa kwenye wimbo wa MAMBO KWA SOX! Kiukweli hali ni mbaya sana, ila mimi sielewi ni nani aliyeleta tabia hii?? Na wanaofanya hayo madudu wanafurahia nini? Eti nyie wadada na wakaka! Mzee wa Rula maeandika na kutoa tahadhari, jamani tumuogope Mungu na tuache hiyo tabia kwa wale wanaofanya hivyo!!
 
Wanaume pia wamekuwa mashabki wakubwa wa huu mchezo. Kwa pamoya kila bibi na bwana yake tuungane kupiganisha haka kamchezo. Ni laana .
 
Wanaume pia wamekuwa mashabki wakubwa wa huu mchezo. Kwa pamoya kila bibi na bwana yake tuungane kupiganisha haka kamchezo. Ni laana .
 
Back
Top Bottom