Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Hakika maisha yetu yanapoteza mwelekeo pale tunapoacha duniya itutafsirie upi ni uzuri kwa ke/me,yapi ni mafanikio kwa mwanadamu. Tujitahid kuepuka kutegemea hisia za watu kuendesha maisha yetuNyie ndio mnatufanya tunahaha na kututukania matumbo yetu
kaxi wanayoWanaambiwa hayo majani yana virutubisho so ukitumia tumbo linakuwa flat alafu kishundu ndo kinatokeza hahahahaha kumbe uongo
Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Wenzio hata hawajiamini!Mie kwa kweli ni mwoga sana kutumia dawa dawa au vitu kwa ajili mara kupunguza unene mara kuongeza makalio, mara kupunguza matiti au kuongeza hapana. Najikubali
HahahahahaKumbe! Wallah na mm nshakunywa sana hio michai saivi nafanya mazoezi naona inasaidia tumbo linarudi
Wewe ni mwanamke wa mfanoNamshukuru sana Mungu sijawahi kuvutiwa wala kutamani umbo la Kim wala yyt yule. Namshukuru Mungu sana kwa kuniumba hivi nilivyo... kila alichonipa ni kzr hata we ukiona kibaya ni macho yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Nadunda hata na mabutu yangu tatu kichwa na bado nangara NAJIKUBALI KNM..
Tumshukuru Mungu kwa kila alichotupatia wamama tunatumia mda mwingi sana kujipendezesha ili kuwavutia wanaume khaaa! Mbona wenyewe hawafanyi hivyo...
Mtakufa bure muwaache wanatumbua na kiba Ebitoke sie
Hahahaaa!!Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Kuandika ni rahisi hapaWewe ni mwanamke wa mfano
[emoji23] [emoji23] kwa jinsi jambo lenyewe lilivyo sina uhuru wa kumjengea shakaKuandika ni rahisi hapa
Niende wapiHe! Kumbe Kanye West yupo?
Ndio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.