BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Fanya mazoezi kwa faida yako....Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Huko insta ni picha za before and after ha ha wanawake tunajua kuhangaikaKumbe gym wanaenda kupiga picha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LohNdio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.
Mie hata mazoezi yalinishinda zamani nipo tu ni mpenzi mtazamajiFanya mazoezi kwa faida yako....
Sio kwa kuwafatisha hawa
HahahahaahhaMie hata mazoezi yalinishinda zamani nipo tu ni mpenzi mtazamaji
ahahaaaMie kwa kweli ni mwoga sana kutumia dawa dawa au vitu kwa ajili mara kupunguza unene mara kuongeza makalio, mara kupunguza matiti au kuongeza hapana. Najikubali
sijawai kunywa hayo majani kusema kweliha haha ubahili wangu unasaidia sana
Navyofahamu hayo majani yanaondoa sumu sumu mwilini hyo ya kuwa na tumbo flat ni lazma mazoezi na kupunguza kulaKuna majani wanakuwa wanatangaza kuwa yanaondoa mafuta tumboni na linakuwa flat,,,kumbe hakuna kitu wao wanaenda kufanyiwa upasuaji ,gym wanaenda piga picha tu
Hayo makosa sasa hupaswi kusikiliza nini kinasemwa juu yako, unapaswa kusikiliza nini kinasemwa kutoka kwako.Nyie ndio mnatufanya tunahaha na kututukania matumbo yetu
na usinywe mamy ..sijawai kunywa hayo majani kusema kweli
He! Kumbe Kanye West yupo?Navyofahamu hayo majani yanaondoa sumu sumu mwilini hyo ya kuwa na tumbo flat ni lazma mazoezi na kupunguza kula
HahahahahaHa ha ha kumbe ji papa nalo dili
Wanaambiwa hayo majani yana virutubisho so ukitumia tumbo linakuwa flat alafu kishundu ndo kinatokeza hahahahaha kumbe uongousiwashitue waendelee kushikiwa akili zao na hao wauzaji. maana hawajiongezi .
majani toka lini yakaogeza size ya Mat....