Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,487
Sounds like coming from experience 😂Kuna hawa ambao kila sherehe wapo utafikiri walizaliwa tumbo moja na mji mzima.
Yaani hawachagui mradi waurambe tu na akiona haitoshi anaenda kukodisha viatu vya jimmy Choo kwa weekend ili ajionyeshe tu yuko kwenye chat
Nywele za bandia zimejaa kwenye kabati mpaka unasema akiyafunga kwenye ubao anaweza kufagia uwanja
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Zamani zile ulikuwa una panic sana ukizinguliwa......nowadays unaenda nao sawa hawakupi shida tena. #understanding
Ukweli wenye nyanya chungu ndani yake.Kuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja atakumbuka ile nyama choma ya Sinza atakwenda kula kujipongeza. Huyu mara nyingi hawazi pesa ya mwanaume.
Kuna wale wapenda vitu vizuri.
Handbags zote za majina anazijua na yuko radhi anunue Michael Kors handbag iliyoletwa kazini leo kabla hata hajalipa kodi.
Hawa mara nyingi huwa nguo kabati tatu lakini hawajawahi kumiliki nyumba.
I've seen itSounds like coming from experience [emoji23]
Jamani heri ya mwaka... Sio kwa kupotezana huku my dearYani mtu kiungwana anakusaidia kwa njaa zako wewe unaona umemchuna? Mimi ndio sababu nawaheshimu sana wanawake wanaojiuza hawana unafki kuliko nyinyi kina Mwajuma nchokonowe, siuzi wala sitoi bure.