Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,453
- 25,168
Mimi Niko hapo juu ....ila nataka ninunue gari tu nyumba nitapanga ....habari ya Mimi nakomaa kujenga kwa mbinde halafu nakufa watu wanaanza kushindania nyumba ya marehemu hapana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app