Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,487
Mie nimegundua ile formula ya kuwachuna hata 10 kwa 10,000. -20,000
Jioni nikifunga hesabu sikosi 100,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa kweli,ukiomba zaidi ya 20 hupewiMie nimegundua ile formula ya kuwachuna hata 10 kwa 10,000. -20,000
Jioni nikifunga hesabu sikosi 100,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa maranyingi majibu ya Form Four A yalikuwa Div IV au O na wanakuwaga warembo sana.
Kunywa maji kwanza mzee upoze koo sio kwa hasira hiziMsaada. Endeleeni kuosha K maana ndio card zenu za benki. Nyie huwa wasafi sana gharama kubwa huitumia kutengeneza mvuto na kwenye mta ange hamtegei mna kipaji cha kugegedana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio kutuchunaKuna wengine hatulali bila kumchuna mwanaume
Yaani usingizi unakua hauji kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifimbo ametuuzaFanya tusaidiane kukokotoa basi ili tuache tabia mbaya
Maisha kusaidiana Mzee
Sent using Jamii Forums mobile app